Kama ni keyboard ya PS2, yaani yenye pini za round; Na kama umeichomeka computer ikiwa 'on haiwezi kufanya kazi! zima na kuwasha computer!
Pia cheki kama zile pini hazijapinda wala kukatika, pia hakikisha umeichomeka kwenye tundu lake halisi! huwa lina rangi ya blue/violet
kama ni keyboard ya USB then ichomoe uweke kwenye port nyingine!