Vodafone mobile tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodafone mobile tv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ARV, Oct 28, 2011.

 1. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Naombeni msaada kwa anayejua hii kitu,yaani aliyefanikiwa kupata hii service(kuona hizi channel tano kwenye simu, TBC1,EURONEWS,B4U,SEESAW & SUPERSPORT BLITZ).Mimi nimejaribu sana kwenye simu zangu lakini kila ninapojaribu kuingia ina-search mwisho inaniambia UNABLE to open file.mwanzo nilitumia nokia 6233 ikagoma, nikatafuta tena nokia X2 ambayo naweza kuangalia online moving picture kama za you tube na mobile tv ya skysport lakini hii ya vodafone inagoma au voda wanatudanganya? au unatakiwa uwe na simu aina gani? Msaada please.
   
 2. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni hivi majuzi nimefanikiwa kupata hii huduma kupitia simu yangu(HTC HD2 WINDOW MOBILE). Awali ilikua inagoma, ilikua inanipa message fulani hivi, THIS SERVICE IS NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY. Nadhani kuna marekebisho wamefanya, kwakua sikubadili chochote kwenye simu yangu. Napata channel zote 5, ingawa picha haziko clear sana, lakini si mbaya.
   
 3. sandet

  sandet Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Mimi natumia Samsung GT-B7320 Window Mobile..inashika vizuri tu bila shida
   
 4. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu ninong 'oneze ulifanyaje?
   
 5. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Basi kumbe hawa voda hawana longolongo, lakini wangetutajia aina ya simu zinazokubali hiyo huduma yao.


   
 6. M

  Mozzila Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mobile tv ya sky sport una watch tv? Tusaidie
   
Loading...