Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Samsung ambayo inatengeneza smartphone za Android, Windows Phone na Bada sasa inamiliki zaidi ya 23% ya soko la smartphones duniani kuishinda Apple ambayo ina 14% ya soko, Nokia ambayo ilitolewa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamii naombeni msaada wa ku unlock modem yangu ya vodafone. ZTE model:k3571-Z imei 359591035074611 s/n 320B1232DA5B
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF embu nisaidieni jinsi ya kuanlock modem yangu ya tingo,ni E153.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kujua maoni ,experrince na observation zenu kujua ni FAQ ( Frequently asked Questions) gani huwa zinaulizwa sana sana na mara kwa mara kuhusu mambo ya Teknolojia na habari ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau msaada wa jinsi ya ku configure wireless network katika linux mint natumia laptop aina ya compaq presario cq 61-218EM nimeenda kwa network administrator anasema ameshindwa kuconnect wireless...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau naomba kufahamu tofauti ya fm radio station, kuna nyingine ni mono na nyingine stereo. kwa nini kuna hizi tofauti? je kuna faida na hasara ya kila mojawapo?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf! Natumia simu aina ya nokiaN70, je, nawezaje kukonekt ili kureceive email direct kama ilivyo kwenye sms. Natanguliza shukran kwenu wana jamvi
0 Reactions
0 Replies
799 Views
wana jf naomba msaada jinsi ya kutumia free internet ya zantel
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu natumaini wote ni wazima nina tatizo kuhusu laptop aina ya lenovo E40 tatizo lake ipo katika lugha ya kichina sasa nimejaribu kuchange iwe ya english nimeshindwa,ila kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Window-No disk Exception processing Message 0xc0000013 Parameters 0X760692A00X00000004 0X760692A0 Cancel Try Again Continue inatokea kila baada ya sekunde kadhaa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Automatically Restart Firefox When Memory Usage Exceeds A Limit Firefox eats RAM, we all know it and accept it as one of those things we can overlook because the browser and its library of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Automatically Watch & Restart Crashed Processes With ReStartMe Parental controls, P2P clients, antivirus software, backup and communication tools; almost all of us like to keep these applications...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Computing Building Blocks Created from Bacteria and DNA TEHRAN (FNA)- Scientists have successfully demonstrated that they can build some of the basic components for digital devices out of bacteria...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Ingia Android market kuna Bible moja hivi (Bible.is), unapata na Audio yake,yaani unaweza kusoma sambamba na kusikiliza,au ukafungulia Ikaendelea kushusha Gombo kwa kimombo saafi kabisa. Pia ina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi kuna watu wengi wanaexperience slow internet speed kutokana na kuconnect kwenye EDGE badala ya 3G yenye kasi kubwa.Hii inatokana na ukweli kwamba sehemu nyingine hasa mabondeni na mbali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari members. Nilishawahi kupata ajali ya gari sababu ya tyre kupasuka kati ya chalinze na segera, Tukiwa na gari aina ya Landcruiser (shangingi) ilikuwa tufe, maana ilibidi tukutane uso kwa uso...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Install Google Earth kama hauna. Google Earth Download file hii ya Google Earth ambayo ina earthquakes zote eneo la TZ kuanzia 1950 hadi mwezi wa kumi mwaka huu. HDS111025225104_29293.kml...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajf naomba msaada wenu jinsi ya kupata configuration za internet kwenye blackbelly manake nikijaribu kufungua wananiambia nicontact service provider. Natumia tigo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mambo wakuu kuna mtu ana license key ya Ashampoo Burning Studio 10?? help if u can please
0 Reactions
5 Replies
20K Views
Back
Top Bottom