Signal za ITV zinatatizo gani?

Signal za ITV zinatatizo gani?

Utamaduni

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
1,279
Reaction score
600
Jamani kila ifikapo saa mbili usiku, Satellitite signaling ya ITV zinamekuwa na Scratching sana, hiyo inaendelea hivyo hadi asubuhi then zinarudi kawaida. mimi natumia Dish la tf6, jamaa yangu ana la ft8 wavu nae anakubamba na tatizo hilo.

what can I do? Any ITV engineer to help me out...

my setting are 3643 H 8545 2/3.
 
Mwulize Reginaldi Mengi. Mbona EATV ni sawa sana?
 
Kwanza unatumia aina gani ya dish,LNB,na risiva. Mbona hazina matatizo yoyote siko sawa? hebu chungulia ndani ya LNB kama kuna wadudu watakuwa wamejenga ndani ya LNB,pili fanya adjustment kidogo sana legeza ile knob nyeusi halafu telemsha kidogo kama nusu sentimeta utaona kitu kinakubali.
 
Back
Top Bottom