Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

mkuu embu tuambie nikwel kwa mba mafuta hakuna kabisa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I have been asked by many Vodafone Users to post a Method to get a free GPRS for the Vodafone. Nobody wants to pay for what he/she uses. I am also a Nobody so I was also in trying out all the...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau tukizingatia mabo haya inawezekana kabisa computer zetu zikawa na spidi nzuri tu.Haijalishi PC yako ina RAM ya 64MB au 2GB 1.Computer yako ikiwa inaboot usiisumbue iache iboot kabisa mpaka...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Learn foreign language with Memler. Free. Do you study foreign language? If so then Memler is for you! Download the word library for your language or create your own Memler word list and master...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Wana JF naamini mu wazima na shughuli zinaenda vizuri,naomba mnisaidie niweze kujua bei za vitu vifuatavyo nataka nifanye ujasiriamali wa Studio ya Kisasa na professional ya picha 1.Kompyuta ya...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
habari zenu wanajamvi kwa mara nyingine nimerudi na tatizo jingine...ni jinsi ya ku-unlock modem ya airtel E153u-2 serial codes zake ni 357289042300572 natanguliza shukrani zangu kwenu
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hallo wadau wa Siasa. Naamin China na nchi za Scandanavia zina mifano hai amabayo inaweza kututoa tulipo n kwenda mbele kama wanasiasa wetu wakiwa tayari kuona mabo nje y siasa. Inwezekana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni msaada nitaitumiaje simu yanga bb kama modem.Ni curve 8520, na mtandao ni airtel. Nimeongea na customer care ya airtel hawakutoa ushirikiano.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina receiver aina ya asiastar ambayo nilipata kutoka kwa rafiki yangu. Ni receiver yenye ubora mkubwa, hata kama channel fulani zinascratch kwenye receiver zingine ukiconnect asiastar...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahani,nimeamua kufuta post coz majungu yamezidi
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Fungua document yako ya word halafu andika =rand(200,99) halafu press enter uone kitakachotokea. Kama unatumia ms word 2007 utapata page kama 567 zenye paragraph zilizojirudiajirudia. Kuna mwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nisaidieni toka jana siwezi weka vocha ktk line yangu ya tigo kisa niliweka vocha feki,je niitupe hii line? Au ninunue nyingine.nikiwapigia customer care hawapokei namba yao ni 0713800800
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninahitaji Accounting Drivers, kwa ajiri ya kunisaidia katika kuuza bidhaa, kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zilizoko stoo, na kuchanganua mtiririko wa mahesabu ya biashara kwa ujumla. Napenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna mdau alitoa njia ya kuchakachua vingamuzi vya startimes nimefanya kama alivyoelekeza na nimefanikiwa kama charm vile nimepata chanel 13 ikiwemo tb-joshua nimefurai sana. ILa zinasumbua...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
WanaJF naomba msaada Kuna account moja ya yahoo niliacha kuitumia siku nyingi lakini sasahivi automatically inatuma email kwa contact zote zilizopo kwnye account hiyo Please help mana wakati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nikama kadocumentari hivi huyu jamaa aliyea ndika kitabu iSteve jobs akitoa undani wa ufikiriaji wa Steve jobs na maisha yake
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Nina cpu ya compaq with built-in speakers. Kila ninapowasha inawaka kwa kama sekunde 30 then inatoa sauti ya beeping mara mbili halafu inazima. Baada ya hapo inaonyesha kuwaka lakini screen blank...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wataalamu nisaidien,computer yangu inajirestart kila nkiiwasha ,hasa nikibonyeza start menu,nimejarib kuscan,nime install window 7 upya,imeshindikana,naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zinauzwa bado zipo poa kama unaitaji n pm & phone no 0689479673 & 0756306963
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom