Replacing the Hard Disk

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Nahitaji kuondoa HDD ndogo na kuweka kubwa zaidi katika laptop yangu, ni hatua gani muhimu za kuzingatia ili nibaki na data zangu zote, zilizokuwepo?
 
Nunua usb hardisk case,weka humo your old hardisk,funga harddisk mpya na weka OS,Then conect old hdd iliyo ktk usb case kwenye laptop yako and start moving your old files
 
Nunua usb hardisk case,weka humo your old hardisk,funga harddisk mpya na weka OS,Then conect old hdd iliyo ktk usb case kwenye laptop yako and start moving your old files

pia anaweza kutumia acronis software ambayo itaweza kucopy kila kitu hadi os ambapo yeye kazi yake itakuwa ni kubadili hdd tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom