Tafadharini naombeni mnisaidie

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu mambo vipi? naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu.Natumia simu ya Nokia E61i nitawezaje kuweka picha za matukio mbalimbali ya kufurahisha kuelimisha na kuhuzunisha hapa JF na hii ni baada ya kuwa safarini mkoani Mara kikazi wilayani Serengeti na kukuta mauaji ya kutisha yaliyofanywa na bwana mmoja kwa kile kilichodaiwa ni wivu wa kimapenzi hakika nilichokishuhudia kwa macho yangu hakika sikuamini kama binaadamu anaweza kumchinja binadamu mwenzie kama ngombe.
 
sasa hapo itabidi ubadilishe version ya jamii forums iwe pc version then utaweza kuzipost.hold on.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom