Msaada wa UPS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa UPS

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Adolph, Oct 27, 2011.

 1. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wakuu habari zenu.natumai mpo fresh mkiendelea na mapambano ya maisha.natafuta ups inayoweza kuhimili computer 5..kama mtu anajua wapi nitapata nzuri na bei yake hapa dsm naomba anijuze tafadhali..
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu ukipata UPS ya 2000VA inaweza kubeba hizo computer tano bila shida yoyote....ila kama unataka ibebe kwa muda mrefu tafuta kubwa zaidi nenda duka lolote la computer utapata
   
 3. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  thanx mkuu ngoja nikaitafute hi uliyoniambia.tatizo ni umeme unapanda na kushuka kila dakika mpaka computer zinazimazima so nafikiri hiyo itanifaa maana umeme haukatiki ila kuna muda unapungua hadi zinazima..thanx mkuu
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,408
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Pamoja na hiyo ya 2000VA unahijati kuwa na external batteries. Hivyo vibetri vilivyomo ndani ya UPS vina AH ndogo sana. Nakushauri tafuta battery za 150AH 12V na kama hiyo UPS ina input ya 24V the pata betri 2 unga in series na utakuwa na 150AH 24V connected to UPS your UPS. Nijuwacho komputa nyingi hazizidi 4A kwa hiyo kwa komputa 5 then you have 4X5=20A. Hivyo basi 150AH/20A = 7.5 hour. Take 60% of 7.5H = 4.5 hour. Hii ina maana utakuwa na uwezo wa kukaa na umeme huo wa UPS kwa masaa manne wakati komputa zikiwa full operational. Hence the more the AH capacity of your batteries, the more the backup time, but the limit is the charging capacity og your UPS.
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  dah thanx sana mkuu yani hapa umenipa darasa ambalo nisingeweza kulipata popote.thanx sana n b blessd
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,408
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Haina majotro
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Computer tano ndio nini? ongea more technically so that you shall be helped. laptop? desktop? monitor ni LCD AU CRT? kwani kuna tofauti kubwa sana kwa kula umeme baina ya mambo hayo.
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,408
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Ni kuwa kuna tofauti ya power consumption kati ya hizo ulizozitaja, lakini you can still help this person by doing your homework by thinking of the one that consumes more than the rest. Kama alizonazo ni ndogo kwa ulaji umeme itakuwa nzuri zaidi kwake
   
 9. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  daah kaka umecomplicate sana..ni desktop za kawaida dats y nikauliza hivyo n cdhan kama ningehitaji ups kwa ajili ya laptop.thanx nwez kwa mchango wako!
   
 10. L

  Laurel421 Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx [​IMG] [​IMG]
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na pia ni kumuingiza gharama zisizo za lazima. maana itabidi anunue kitu cha zaidi ya anachohitaji. cha msingi yeye mwenyewe asome nyuma ya monitor zake rated current au kila monitor na computer yake inatumia ampere A ngapi?
   
Loading...