Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wap ntapata microsd ya 16gb na nitapata kwa sh ngap?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yenu wadau wa Tech,nimepata kawazo ka kutaja vitu tajwa hapo juu ili kusaidia na wale wanaotaka kujua upatikanaji wa 3G signals za internet za maeneo tofauti tofauti nchini.Hii nadhani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenye ujuzi na Boards of construction atupe msaada, mfano mie najua 1.Engineering Registration Board(ERB) 2.Contractors Registration Board(CRB)....
1 Reactions
1 Replies
826 Views
Simu za mkononi, Television Receiver ,Radio, Computer/Laptop ni baadhi ya vyombo tunavyotumia kupata na kupashana habari Ukifuatilia ubunifu unaoendelea utaona kadiri siku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
waungwana wenye ujuvi na weledi wa kutosha katika masuala ya luninga na matangazo, naomba mnijuze kuhusu majina ya aina ya matangazo ktk luninga, m.f Jina la tangazo linaloingia baada ya habari au...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wakuu Hivi kwa nini serikali na wasomi wa vyuo vikuu kama UDSM na vinginevyo Tanzania hawatoi paper na kufanya tafiti kuhusu mada ya uchawi. Hapa naongelea uchawi unaaoonekana ni wa...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Gonga hapa utashangaa : Awesome Computer Tricks
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu hii ni compilation ya baadhi tu ya tricks nilizowahi kukutananazo katika pitapita zangu sehemu mbalimbali online..si kwamba nimeziandaa mimi nikuwa niliwahi kuzicopy an kuzihifadhi kwa...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
mambo wa ndugu, kuna m2 ana solution ya hii problem ya YAHOO!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shy na wenzako, natafuta web host kwa ajili ya personal website itakayokuwa na issue za shule kwa wanafunzi. Nataka nijue bei ya kuhost website na pia gharama ya domain registration. Web design...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Leo ni siku ya nne tangu nilipojinyima na kuweka bundle la elfu 30 kwa ajili ya kutumia internet mwezi mzima,hapa najuta hiyo hela kwa nini sikwenda kuila nyama internet iko very poooooor and very...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kila unapopata hii wlan ukijaribu unakutana na pw. Hakuna namna ya ku access net kwenye mobile ya wireless bila kulipia?
0 Reactions
1 Replies
933 Views
naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji msaada simu card yangu kuna mtu nilimpa cm yng bada ya kufanya mambo yake kaniludishia cm ikiwa tayari lain imejifunga.msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naombeni somo, kati ya processor na RAM kipi kina determine speed ya computer?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Many of you get your mobile phone wet by one way or another. You worry as you mistakenly drop your mobile phone in water. It can also get wet if you are out in a heavy rain. However, there is no...
1 Reactions
0 Replies
913 Views
swalama wakuu? tatizo langu ni moja,my hp 630 laptop which z stil new imeanza kuzingua kaya. nikitaka kukopy file kutoka location moja kwenda nyngne inaniletea hiyo error message hapo juu. je hii...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Hi wadau naomba kufahamu fuel consumption ya gari yenye CC 2000 (premio)..pia kama una data za other cars like starlet please nitashkuru!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hallo wana jf katk mitandao yetu zain,voda na tigo je mtandao upi ktk matumiz ya modem anaeleweka kwa huduma nzuri na yauhakika?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kama kuna mtu mwenye laptop pentium m ambayo si dell d610 iliyo katika hali nzuri iwe na hard disk 80 na kama anauza kwa bei ya laki 3.5 tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom