Mabadiliko ya matumizi ya vyombo vya teknohama .wapi tunaelekea ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya matumizi ya vyombo vya teknohama .wapi tunaelekea ?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Dec 26, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Simu za mkononi, Television Receiver ,Radio, Computer/Laptop ni baadhi ya vyombo tunavyotumia kupata na kupashana habari

  Ukifuatilia ubunifu unaoendelea utaona kadiri siku zinavyokwenda imekuwa sometime hata kazi kuelezea tofauti ya chombo kimoja na kingine. Ni kama vina merge.

  Mfano
  Zamani kulikuwa na tofauti za wazi za uwezo, na majukumu katika computer na simu. Lakini siku hizi simu za kisasa zinaweza kufanya majukumu yanayoweza kufanywa na kompyuta. Tofauti kubwa iliyopo ni uwezo. Lakini ubunifu unavyoendelea uwezo wavifaa vya mobile unazidi kuwa mkubwa mwaka hadi mwaka

  Kwa wenzetu pia Tofauti ya TV na Kompyuta inazidi kupungua sababu Nchi za ulaya mtu anaweza kungalia kipindi wakati kinarushwa kwa kutumia kompyuta mradi tu iwe connected na internet. Vile vile kuna vifaa kam TV tuner vikiwekwa kwenye Kompyuta basi basi kompyuta hiyo inaweza kuitwa TV pia.

  Kwa kutumia kompyuta iliyounganishwa na internet mtu unaweza kusikiliza baadhi ya vituo vya radio vikirusha matangazo moja kwa moja. Radio pekee Tanzania nayojua ni MediaPlayer

  Simu za kisasa pia zina kuja na feature ya kumuwezesha mtumiaji kusikiliza radio au kungalia TV. kwa hiyo mobile nyingi ni radio.


  Magazeti yanatoa habari ambazo sometime si tu zimepitwa na muda lakini zinapatikana tayari kwenye internet au Radio au Television

  Je kwa style hii inawezekana Miaka ya mbele

  • Kifaa kinaitwa radio kitapotea majumbani na kuwa msamiati?
  • Tukaona hata TV receiver zinafungiwa MAC address na kuwa na uwezo wa kuwa na IP address hivyo kuweza kuunganishwa na internet moja kwa moja?
  • Tukaona TV zenye USB port a kuziwezesha akuungnishwana vifaa kama keyboard na hivyo mtu kuwana uwezo wa kufanya kazi kwenye screen kubwa akiwa nyumbani?
  • Huduma ya kuuza au kununua magaeti ikafanyika online kwa watu kununa au kusbscribe soft copy ya magazeti ?
  • Itakuwa compulsory TV receiver kuwa integrated na Media player kama DVD/Blue ray disc

  Sijui great thinkers mnasemaje kuhusu ubunifu, maendeleo na wapi madhani tunakwenda kusu hivi vifaa.
   
 2. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Hayo yote unayoyataja tayari yameshafanyika katika nchi zilizoendelea.
  Teknolojia ya mawasiliano inarahisisha mambo, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Radio hazitafutika. Katika nchi zilizoendelea kila mtu ana radio ndani ya gari au FM stesheni katika TV. Kunawasilkiliza wengi sana kwasababu radio ni chombo kidogo kinachobebeka na hakihitaji complicated technology. Kwa nchi zilizoendelea teknolojia imepunguza biashara ya posta lakini posta haitafutika kwasbabu bado ni chombo muhimu sana kwa mawasiliano hasa ya kiofisi. Tanzania watu wanaweza kuwasiliana kwa mdomo tu! hata mambo ya kiofisi.
  Utashangaa katika ofisi nyeti sana za serikali barua bado zinachapwa kwa type write kama zamani na si computer, kwa maana kuwa tecknolojia ya computer ina madhara ukilinganisha na type writer. La muhimu ni kuelewa kuwa teknolojia ina advantage na disadvantage.
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nimkusoma na nimekuelewa vizuri sana.kweli kabisa ukiangalia kwa haraka haraka utagundua kwamba kama kweli mambo ndio hivi basi hakuna haja ya kununua TV,RADIO,MAGAZETI,SIMU,RECIEVER, nk mbadala wake unanunua computer ndogo tu na modem tayari kilakitu unapata kupitia hivi vifaa.mimi naona wao wacha washindane kutuwezesha,haina tofauti na mtu anapo amua kula chakula ki msingi chochote kinacho patikana kinaweza kukizi mahitaji yake hivyo anaweza sema leo nakula ugali,wali,kande,muhogo au vyote kwa pamoja ili mradi ASHIBE TU. hivyo hata sisi itafika mahala tutachagua tununue nini.tv,radio,computer.gazeti, au vyote.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hivi kama ulivyosema kuna sababu zozote za kitaalamu kwa matumizi ya type-writer kuendelea.
   
 5. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,385
  Trophy Points: 280
  Mkitoa hizo jamaa, hao wabibi mtawaajili wapi maana wameambiwa kikokotozi ni muzimu mweusi.
   
 6. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Ndiyo, kwasababu computer ina system nyingi mtu anaweza ku track information. Kwa wajanja computer si chombo kizuri kwa faragha to be honest. Fikiria mtu yupo india na ankuelekeza ku trouble shoot ukiwa Dar, tena anaona jinsi unavyofanya. In other words anajua unafanya nini. Au computer ile Hard disc ikitupwa mtu anaiokota na ku retrieve all information. Kwa type write ukishakuwa cabon paper no way mtu anaweza kusoma habari zako. Kwa bahati mbaya wahalifu wakimataifa hawatumii celphone, computer au tech yoyote, wanawasiliana kwa njia za kiujima. Ndio maana kuwapata akina Osam ni ngumu sana, maana barua inatoka kwake na kupitia mikono isiyojulikana zaidi ya ishirini, sasa utajua imetoka wapi. Hawana cellphone wala radio call.
  Teknolojia haiwezi kuua natural techno, kama ni msomaji wa kweli wa magazeti, huwezi soma katika mtandao ambao baadhi ya habari zimechujwa sana. Kwa mfano soma Raia mwema au Mtanzania daima au The guardian, halafu nunu nakala halisi, utaona umekosa habari nyingi sana. Lakini pia ni rahisi kubeba gazeti ndani ya train au basi na kuna starehe yake kuliko kusoma gazeti hilo katika black berry.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nguruvi ni sahihi kusema computer iliykuwa cnnete kwenye net haik secure kama ambayo iko offilen au typewiter . Lakini nimeona vipindi na documenatry kadhaa za CSI na criminology kuna hata forensic ya type witer mashine. Hata ukitupa carbon paper kuna mule ndani kuna wataaam wanaweza kuunganisha dots na kujua nini kilifanyika.

  Kompyuta hata usipunganisha na net kuna wtaaalam wanaweza wakaja wakaweza kujua ulitumia kufanya nini kwa kusoma registry. hata kama ulifuta HDD wanaweza kurecover.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mtazamaji unaweza nieleza future ya television tanzania?
  tukishakuwa full digital ,picha itakuwaje??????/
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Yes............
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mhhh boss kwa kweli sijakupata swali vizuri. unauliza itakuwaje kwa
  • Warusha matngazo ama ITV, TBC?
  • KWa wapokea matangazo majumbani?
  but check hii clip inaweza kukupa majibu kuliko longolongo zangu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  nimeshindwa tazama hiyo clip
  kuna softaware sina

  nilitaka kufahamu 'mabadiliko kwa warusha matangazo kama itv,channel ten,clouds tv na kadhalika
  na je itawezekana kuwa na free to air tv?

  na hayo makampuni matatu ni yapi na why matatu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Cyclone

  Cyclone Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Almost kila kitu kimeshafanyika kati orodha yako ndefu, lengo la mabadiliko na ushindani kataka technologia syo kufanya replacement ya vitu vingine ni kurahisisha accessibility ya vitu kwa mtumiaji. Japo kila kitu kinanafasi yake katika maisha. That`s why watengeneza TV wanaendelea Radio ndo usiseme , Smart phones n.k

  Kwa mfano kusoma kitabu softcopy kwenye Ipad au Kindle Fire kunaraha zake japo Kusoma kitabu hardcopy kunaburudani pia.So unaweza kuwa na njia zote , ukatumia kila moja kutokana na wakati husika.

  Kwa hiyo motive ni accessibility over replacement
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
Loading...