Natafuta laptop pentium m isiwe dell d610

Natafuta laptop pentium m isiwe dell d610

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
kama kuna mtu mwenye laptop pentium m ambayo si dell d610 iliyo katika hali nzuri iwe na hard disk 80 na kama anauza kwa bei ya laki 3.5 tufanye biashara
 
Nashauri ununue Mac

nina mac kaka lakin tatzo ni kwamba kuna softwares 2naz2mia darasan ambazo zna work kwenye wndows 2 thats y natafta laptop chp niwe nai2mia class.
 
Unapitkanaje mkuu tufanye biashara. Ni mp tafadhali
 
Back
Top Bottom