Natafuta Web Host | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Web Host

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by johnj, Jan 22, 2009.

 1. johnj

  johnj Member

  #1
  Jan 22, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Shy na wenzako,
  natafuta web host kwa ajili ya personal website itakayokuwa na issue za shule kwa wanafunzi. Nataka nijue bei ya kuhost website na pia gharama ya domain registration. Web design, etc nitapata mtu wa kufanya hivyo. domain inaweza kuwa .edu au hata .com
   
 2. johnj

  johnj Member

  #2
  Jan 23, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  asante invisible,
  tuhabarishe pia domain registration na bei zake kama iko ndani ya uwezo wako. bei kwa .com, .edu, .net zitanifaa kufanya choice.
   
 3. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #3
  Jan 23, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,812
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Invisible,

  Asante sana Mzalendo.

  Je, ni nini utaratibu wa kutengenezewa forum kama ya JF laki kwa Wanataaluma na wataalamu wenu na ni nini costs zake?
   
 4. johnj

  johnj Member

  #4
  Jan 25, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  asante sana invisible.
  nitaanzisha site yangu ya .com. naomba unitumie maelekezo kwa pm nijue malipo yanafanyikaje na domain registration form, pia contract navipataje.

  is it possible kuweka joomla software ili niitumie ku-manage site yangu ?

  siku njema.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jaribu kupitia hizi websites may be unaweza pata kitu cha kukusaidia

  BlueVoda

  *No HTML web design knowledge required (Very Easy Use - Drag & Drop)
  *Pre - designed website templates included (Create Unlimited Web Pages)
  *"One Click Publishing" Go live on the internet in seconds!
  *Create an Unlimited number of Websites (No Restrictions)

  With BlueVoda you can create everything from a simple homepage to a beautiful multi-page website. If you ever get stuck or need any help support team is just a mouse click away.
  Have Fun!  Or tembelea hawa jamaa

  Online-Business

  "Helping You Make An Informed Decision About Which Online Company Will Work For You!"

  Best 10 Web Hosting Sites

  Or
  Best cheap web hosting


  godaddy

  Kila la kheri bro.
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Feb 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Unajua nafikiria mpaka wakati mwingine nacheka mwenyewe.

  Kuna vitu vya kuangalia sana. Shared Hosting sucks guys!

  Tumepita kote huko, tumelipia $5 kwa mwezi hosting lakini karaha yake asikwambie mtu.

  Hivi mmeangalia vema what we offer?  Haijalishi kuwa hawa wengine mnawafagilia, tumetoka huko na tunajua mabalaa yao.

  Na tungepata clients hata 50 tu basi bei ingekuwa Tshs 15,000/= kwa mwezi.

  Tukipata clients 100 basi bei itashuka na kufikia Tshs 10,000/= kwa mwezi.

  Tatizo ni kuwa wengi hawajui hidden charges katika hizi hosting. Kwa mwenye uelewa hahitaji kuuliza kuhusiana na hili la shared hosting.

  Kadiri unavyokuwa na clients zaidi ndivyo unaweza kushusha bei.

  Nina uhakika tukiwa na clients 500 basi hata hosting charges zetu zitashuka zaidi na zaidi.

  Isitoshe, hosting package yetu ina backup ya kila saa 6 (daily).

  OS Supported:

  • Windows
  • Linux (Red Hat,
  • Fedora Debian, CentOS)
  • FreeBSD
  Control Panel Support:

  • cPanel for Linux
  • PLESK for 30 domains
  • w/PowerPack
  • PLESK for 100 domains
  • w/PowerPack
  • Webmin for Linux
  and mind you, that's a managed service!

  Siwazuii kwenda Yahoo, Google ama kwingineko ambako bado utalipia CPanel au Plesk au sub-domains.

  Kwa hosting yetu unakuwa na guarantee ya nani umbane na wapi umpate.

  Najaribu kuwaonesha tofauti... Ni kweli, si rahisi kuaminiana waswahili lakini bado naamini kwa pamoja tunaweza!
   
 7. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo lazima kina Invisible wakutengenezee....nakitu cha mhimu siyo kwamba ukitengeneza forum kama Jf ndiyo itamake headlines,No! JF haikuanza leo but kama unataka Forum kama au zaidi ya Jf ni Pm then andaa kama $2,000 cash...
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Invisible,
  head up kwa hosting ad iko vizuri. Nami bado nina swali hiyo laki 3 ina cover DB ngapi, space kiasi gani, na BW kiasi gani? Is it shared or not?
  Ningependa nifanye hosting Tz kila ninapotaka kwenda global!
   
 9. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Invisible, mi nahitaji Domain tu inayoisha na .com au .net, niambie itanigharimu ngapi kwa mwaka na means of payment, tafadhari nijibu mapema
   
 10. E

  Eliah Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  we do hosting and full support just at 200,000 per year
  web designing, at 600,000 per website
  database driven websites(php and mysql)
  software development were currently we have students management system,saccos solution

  you are welcome!!
  contacts:
  email:info@visualtechnologiestz.com
  website:www. visualtechnologiestz.com
   
Loading...