skype

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali
 
kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype

macinkus
 
kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype

macinkus
skype ipo bomba tu mkuu na wengi wanaitumia...cha kufanya download software yao ni free just google it then install..baada ya hapo login kwa kutumia details zako ulizo register...done!
 
iko safi mkuu! ukifuata maelekezo ya mkuu hapo juu! safi kabisa! unaweza ukaatendi hata vipind bila shida!
 
Back
Top Bottom