Speed ya computer: Processer vs RAM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Speed ya computer: Processer vs RAM

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mrimi, Nov 18, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu naombeni somo, kati ya processor na RAM kipi kina determine speed ya computer?
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Processor mkuu ndio mpango mzima...bt vyote vinategemeana!! Huwezi kuwa na mashine yenye processor kubwa halafu RAM ndogo...ni sawa na mtu mzima awe na akili sana lakini hana kumbukumbuku!! Always vitu hivi vinaendana.
  Kwa ufupi processor ndio inadetermine spidi ya comp yako, kufungua files na kuperform action mbalimbali, BUT RAM ni ile action unaifanya je inachukua muda gani kwa kompyuta kuikumbuka....
  Sasa hapo kama memory ndogo ina maana mashine itatumia muda mwingi kuikumbuka hiyo program unayoifungua kufunguka. Sasa ukiwa na mashine yenye RAM kubwa bt processor ndogo nayo ni magumashi.
  Maelezo yake ni magumu kidogo...
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Speed ya Computer kwa mtu ambaye hajui Mambo ya IT ni ile responce ya Computer kutoka pale mtu alipoamuru Application au Script fulani irun mpaka pale anapopata Majibu ( Yaani application imefunguka na kutoa Majibu). Na hiyo inategemea mambo kadhaa lakini ya Msingi ni

  1. Size ya RAM ( kumbuka RAM Haipimwi kwa Speed bali size in KB or Mb unaweza kuwa 256Kb, 512Kb, 1GB RAM) Kazi ya RAM ni kuhifadhi zile programme zinazorun kwa wakati huo.

  2. Proccessor kazi yake kufanya Shughuli zote zinahosu komputer na Hiyo inapimwa Kwa Speed

  3. Aina ya Computer kama ni 32bits au 64 bits

  All in All hata ukiwa na Proccessor ya Infinity Speed kama una limited RAM computer yako itakuwa Slow tu

  Kwa matumizi ya Kawaida ya Ofisini Zingatia sana size ya RAM
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kujibu Swali lako ambalo umeuliza hivi

  Jibu lake ni

  Kinachodetermine Speed ya Computer ni CPU ( Central Proccesing Unit) Ila RAM inaweza kuwa Bottlenet katika Kuachieve Speed ya Komputer so ili Cmputer yako iwe na Speed nzuri ni vizuri kuzingatia RAM kubwa kuanzia 1GB na kuendelea
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kimsingi nimewaelewa wote, ingawa kutokana na uelewa wangu mdogo wa mambo haya naona kama kuna confusion kidogo. Sinzinga anasema vyote vinategemeana ili kuperform. Wewe unasema ni CPU but unasisitiza RAM but umeongeza kitu kingine, 32bit au 64bit,je kwa zile computer zinazotumia Windows both(32 or 64bit) inakuwaje sasa? Mfano computer yangu mwanzo nilikuwa natumia 32bit lkn sasa natumia 64bit,je kuna tofauti yoyote in terms of speed; maana apparently sioni tofauti?
   
Loading...