BAOSITA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2011
- 368
- 188
Habari yenu wadau wa Tech,nimepata kawazo ka kutaja vitu tajwa hapo juu ili kusaidia na wale wanaotaka kujua upatikanaji wa 3G signals za internet za maeneo tofauti tofauti nchini.Hii nadhani itasaidia kidogo kwa wale watakaokuwa wanahitaji kutumia huduma ya internet pindi wahamapo kutoka sehem moja kwenda nyingine.Tupo wengi humu wadau,taja eneo,mtandao na signals uzipatazo,kama unaona hili ni wazo lisilo na faida kwako,tafadhali,pita tu.Belivdat