Uchawi- kwa nini hatufanyii tafiti za kisayansi

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu
Hivi kwa nini serikali na wasomi wa vyuo vikuu kama UDSM na vinginevyo Tanzania hawatoi paper na kufanya tafiti kuhusu mada ya uchawi. Hapa naongelea uchawi unaaoonekana ni wa kisayansi. Mfano tunasikia wengine wanasafiri kwa ungo.
  • Je uchawi ni kitu kipo lakini hakiwezi kuthibika kisayansi?
  • Kisayansi na kijamii haKuna uchawi?
  • Kuna vitu kuhusu uchawi vinaweza kuwa na manufaa katika jamii?
  • Si sawa na ni matumizi mabaya ya Serikali ikifadhili reseach za uchawi na wasomi kufanya tafiti za kisayasni kuhusu uchawi
  • Tuombe msaada wa wa taaisi kama JICA, DFID UNESCO ili tafiti za uchawi Tanzania zifanyike na mambo ya manufaa yaendelezwe teh teh teh teh .
  • ..... ongeza maswli ya kisayansi mengine kuhusu uchawi...
Am just i thinking jamii itafaidkia iais gani kama tenolojia ya usafiri wa ungo ukiwa legalised kwa matumizi wa watu wengi

Karibuni tujadii uchawi kisayansi na kiteknolojia. Nini mtazamo wako.
 
Mi naamini kama hamna uchawi basi waganga wanatumia TECHNOLOGY YA HALI YA JUU. We kupaa na ungo bila kutumia any anti-gravity tool kitu kidogo? Au ku control dreams na fetility ya mtu!
 
Na ukiambiwa mafuta wanayotumia kurushia hizo ndege(nyungo) ni yanatokana na miili ya vitoto wachanga utaendelea kudiscuss hii ishu?Belivdat
 
YEs givenality
Lakini kwa nini hakujawai kufanyika utafiti wa kisomo hata japo kuonyesha imani hizi za kichawi na kupaa kuwa ungo ni za uwongo.

Another uchawi stories nazosoma ni kuwa mtu anakufariki. Familia inafny mazikoi. Lakini eti kumbe wanakuwa wamefana mazishi ya gogo. "mwanasayansi mchawi" anakuwa kamchukua yule mtu akiwa hai . Wasukuma wanasema msukule. Mila nyingine zina majina yao.

Sasa ni sahihii serikali kuacha hizi consipricy theories kuendelea bila kukanusha au kukubali kuwa zipo? Au ni uwoga/ unafiki wa wasomi/wanasiasa wetu wakionekana wanaongelea/kuhoji haya mambo watadhaurika

Baosita said:
Na ukiambiwa mafuta wanayotumia kurushia hizo ndege(nyungo) ni yanatokana na miili ya vitoto wachanga utaendelea kudiscuss hii ishu?Belivdat

mkuu tushaambiwa mengi lakini credibility zae ni tata . Hata kabla hatujafika kwenye hayo mafuta yanayotumika wenye ungoje
  • upo utafiti officially kuwa hizi nyungo zipo na zinafanya kazi.?
  • Zinafanyaje kazi ? mechanism yake ikoje.
  • Zinatumia principle gani.
nchojiuliza kwa nini hizi story za nyungo zipo lakini hazifanyiwi tafiti au hata kuundiwa kamati ya bunge kisiasa ili wananchi wawekwe wazi.?
 
Kuna wazee wa Rukwa waliwahi kuhojiwa TBC1 wakakili na wakasema wataonyesha jinsi ya kuruka ktk maonyesho ya utamaduni wa Rukwa. Wenye details kuhusu hii insue ebu atumwagie kama ilifanyika ili tuanzie hapo.
 
Hakuna hiyo kitu.imani potefu

Mkuu hta mimi ni dini na mamb ya uchawi kwa imani ya dini yangu ni imani potofu ila hapa niko kisayansi napend kuju zaidi ya kuipuzia tu.
  • Napenda kuju kama tunaweza kuprove something scientifically kwenye hii socalled imani potofu.
  • napenda kujua kama sayansi ya kuruka kwa ungo inaweza kuendelezwa na kurekebishw iwe msaada wa usafiri
  • Napenda kuju kwa nini hazifanyiki tafiti.
 
Anahitajika mtu aliyepaa mwenyewe na ungo aeleze. Pengine ni imani kubwa waliyonayo kwa sababu tunaambiwa tungekuwa na imani 'kidogo' tu tunaweza kuamrisha mlima ukajitose baharini. Maybe wanaamini na inakuwa.
 
Hakuna hiyo kitu.imani potefu

M2wangu bado hayajakukuta na endelea kuomba yac kukute bana, kama ktk vitabu vitakatifu mfano BIBLIA imeandikwa usiwe mchawi then we unasema hakuna hiyo k2 ckulazimishi uamini lakini.......
 
Je itakuwa kosa tukiwezesha hii sayansi ya nyungo kusafirisha wagonjwa mahututi kutka vijijini wakatua muhimbili. Viwanja vya kuruka na kupaa nyungo hizi vinahitaji masharsti gani?
  • run away iweje.
  • rubani anapata mfunzo wapi au viegzo gani?
  • vifaa gani vinahitajika na vinatumika?
Nachojiliza kwa nini hatutaki kuchugnguza tuijue data za sayansi hii kama ni chafu tujue ni chafu kiasi gani kama kuna vitu vinaweza kusaidia kwenye kilimo kwanza basi vitumike. Au vingozi wa serikali wanaogopa watu wa dini kuidhinisha na kufund researh kama hizi ?
 
Tatizo hata serikali ikitoa pesa za kutafiti uchawi kazi itakuwa wapi pa kuwapata wachawi wa kweli wakupe data muhimu na maelezo kuhusu shughuli zao za uchawi.

Navyojua wachawi wengi mambo yao ni ya siri na ukiona mchawi anapayuka hovyo au kutoa siri za uchawi wake ujue huyo ni mchawi feki, wachawi wa kweli ni vigagula, vizee, vibibi huwa haviongei sana wala hawazungumziii kabisa shughuli zao labda wakiwa kwenye vikao na wenzao usiku wakati wa kula nyama za watu.
 
Wakuu
Hivi kwa nini serikali na wasomi wa vyuo vikuu kama UDSM na vinginevyo Tanzania hawatoi paper na kufanya tafiti kuhusu mada ya uchawi. Hapa naongelea uchawi unaaoonekana ni wa kisayansi. Mfano tunasikia wengine wanasafiri kwa ungo.
  • Je uchawi ni kitu kipo lakini hakiwezi kuthibika kisayansi?
  • Kisayansi na kijamii haKuna uchawi?
  • Kuna vitu kuhusu uchawi vinaweza kuwa na manufaa katika jamii?
  • Si sawa na ni matumizi mabaya ya Serikali ikifadhili reseach za uchawi na wasomi kufanya tafiti za kisayasni kuhusu uchawi
  • Tuombe msaada wa wa taaisi kama JICA, DFID UNESCO ili tafiti za uchawi Tanzania zifanyike na mambo ya manufaa yaendelezwe teh teh teh teh .
  • ..... ongeza maswli ya kisayansi mengine kuhusu uchawi...
Am just i thinking jamii itafaidkia iais gani kama tenolojia ya usafiri wa ungo ukiwa legalised kwa matumizi wa watu wengi

Karibuni tujadii uchawi kisayansi na kiteknolojia. Nini mtazamo wako.
uchawi can not be tested in a test tube... Sawa??
 
Je itakuwa kosa tukiwezesha hii sayansi ya nyungo kusafirisha wagonjwa mahututi kutka vijijini wakatua muhimbili. Viwanja vya kuruka na kupaa nyungo hizi vinahitaji masharsti gani?
  • run away iweje.
  • rubani anapata mfunzo wapi au viegzo gani?
  • vifaa gani vinahitajika na vinatumika?
Nachojiliza kwa nini hatutaki kuchugnguza tuijue data za sayansi hii kama ni chafu tujue ni chafu kiasi gani kama kuna vitu vinaweza kusaidia kwenye kilimo kwanza basi vitumike. Au vingozi wa serikali wanaogopa watu wa dini kuidhinisha na kufund researh kama hizi ?

HII ki2 bana ni haram vp tuifanyie research wakati 2najua kwamba c nzuri ktk jamii na ikifanyiwa reserach hiyo, utaihalalisha halafu madhara yake sasa....maana kila m2 ataijaribisha ili ahakikishe kama itafanya kaz bana.
 
kuna jirani yangu kafuga mabundi na mipaka mingi sana, watu wanamuogopa sana, ila mimi ni rafiki yangu ile mbaya.
Ngoja nianzie hapa kudodosa anajua nini kuhusu uchawi
 
uchawi si kwa ajili ya maendeleo. Ni kwa ajili ya kurudisha nyuma maendeleo.
REJEA: Habari ya kwanza ya uchawi kwenye biblia wakati wa fimbo ya Musa mbele ya farao.
 
Wakuu
Hivi kwa nini serikali na wasomi wa vyuo vikuu kama UDSM na vinginevyo Tanzania hawatoi paper na kufanya tafiti kuhusu mada ya uchawi. Hapa naongelea uchawi unaaoonekana ni wa kisayansi. Mfano tunasikia wengine wanasafiri kwa ungo.
  • Je uchawi ni kitu kipo lakini hakiwezi kuthibika kisayansi?
  • Kisayansi na kijamii haKuna uchawi?
  • Kuna vitu kuhusu uchawi vinaweza kuwa na manufaa katika jamii?
  • Si sawa na ni matumizi mabaya ya Serikali ikifadhili reseach za uchawi na wasomi kufanya tafiti za kisayasni kuhusu uchawi
  • Tuombe msaada wa wa taaisi kama JICA, DFID UNESCO ili tafiti za uchawi Tanzania zifanyike na mambo ya manufaa yaendelezwe teh teh teh teh .
  • ..... ongeza maswli ya kisayansi mengine kuhusu uchawi...
Am just i thinking jamii itafaidkia iais gani kama tenolojia ya usafiri wa ungo ukiwa legalised kwa matumizi wa watu wengi

Karibuni tujadii uchawi kisayansi na kiteknolojia. Nini mtazamo wako.
Ukitaka kuwaona Wachawi na Mashetani jaribu kujipaka kwenye kope zako za macho yako tongotongo za Mbwa mweusi utamuona kila aliye Mtu mchawi pamoja na mashetani fanya huo utafiti nakupa majaribio Mkuu Mtazamaji kazi kwako Waswahili husema Mchanga wa Pwani huoo.... mimi simo.......
 
Back
Top Bottom