Consumption ya mafuta for 2000 cc cars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Consumption ya mafuta for 2000 cc cars

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Radical, Nov 17, 2011.

 1. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hi wadau naomba kufahamu fuel consumption ya gari yenye CC 2000 (premio)..pia kama una data za other cars like starlet please nitashkuru!
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Acha uoga. We tafuta lolote tu hata 3000cc halafu komaa nalo. Mambo ya kukaa kwenye viberiti na vibebiwalker yamepitwa na wakati. Utumia wa mafuta ni discipline yako tu. hata kama una cha 1000cc halafu unakata mitaa kama dereva wa daladala utaenda ngoma draw na jamaa wa 2000cc lakini anatoka akiwa na sababu za msingi. "Im watching you ha ha ha ha"
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  am just thinkngning kama ungekuwa uko katika nafasi ya maamuzi ya juu ungeweza kuwaambia mawaziri wa tanzania kutumia gari ndogo kwa safari zao za jijini.? au ungewawezesha hata kuagiza ma hammer?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,443
  Likes Received: 22,359
  Trophy Points: 280
  Kiujibiwa kama unavyotaka hapa JF ni ndoto.
  Akili za kuambiwa changanya na zako
   
 5. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nyie ndio watu munaokera hapa jf. angalia mshkaji anauliza nini anatafuta elimu weye unampindisha kwa makusudi? play it in a rightway or stay silence
   
 6. G

  Greard Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kawaida ni kama Km 10/Litre hapo ni kwenye barabara ambayo hakuna foleni na speed isiwe chini ya 80 Km/h.
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa staret utainyoi,sehemu yoyote with fulltime AC inatumia si chini ya km 20/litre kama haijachonolewa pi unaweza kujaribu hata escudo ambazo hazina engine ya v6
  kwa gari ya cc 2000 itakuumiza kama ni ndogo such us crestar,mark II and etc,kama ni kubwa mfano wa pic up itakuwa sawa
  hali ni ngumu na usafili ni lazima lazima tuishi kijasiliamali
   
 8. chengachenga

  chengachenga Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala la matumizi ya mafuta linasababishwa na mambo yafuatayo.
  - mzigo ambao gari umebeba.
  - upepo katika tairi, upepo mdogo tairi inapelekea kufanya resistance na barabara hence gari inakunywa mafuta.
  - upepo kupitia windows: unapotembea ktk speed fulani madirisha wazi upepo unafanya resistance na kuifanya gari kujilazimisha kusonga mbele. mafuta hayo mzee.
  - the use of ac.
  - high speed driving: mwendo zaidi ya speed 80/h si tu unahatarisha usalama wako bali unaongeza matumizi ya mafuta.
  - vijibwa. unapoondoa gari kwa kasi inapelekea kulazimisha msukumo wa mafuta katika njia zake na kutanua baadhi ya viungo. baada ya muda gari inaona huo ndio utaratibu wake.
   
 9. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  This is educative. Thanks
   
Loading...