Yahoo log in Problem

Yahoo log in Problem

sasa tutajuaje solution mkuu ikiwa hata tatizo juaeleza...heading umeweka tulog in problem..sasa inaweza kuwa unakosea ID, au PASSWORD au tatizo la network maana nayo ikiwa slow sana inasumbua kwenye ishu za ku log in na isitoshe kwa tatizo lolote unalolipata ninahakika kuwa kuna message huwa inatokea hapo kukupa taarifa ...hiy ndo ina solutuion sasa sio hivi!!!
 
Back
Top Bottom