mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,135
- 2,576
Leo ni siku ya nne tangu nilipojinyima na kuweka bundle la elfu 30 kwa ajili ya kutumia internet mwezi mzima,hapa najuta hiyo hela kwa nini sikwenda kuila nyama internet iko very poooooor and very slooooooooow.....kama kuna mtu anaweza kusaidia kwa hili kwa njia yoyote tafadhali hata kufikisha ujumbe vodacom.
Niliongea na customer care anasema hata yeye hajui tatizo ni nini na anaona watu wengi wanalalamikia hiyo shida akamalizia akasema hata mimi siwezi nunua modem zao japo nnafanya kazi hapa,tafadhalini sana tunaomba mrekebishe ili tuendelee kufurahia huduma,ningeweza ningewashtaki .