sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Gonga hapa utashangaa : Awesome Computer Tricks
si kila unachokijua wewe na wengine wanavijua mkuu..kama wewe unavijua heri yako ila kumbuka kuna wengine hawajui vitu hivyo!!mbona sijaona cha kushangaza? Kakojoe ulale
mbona sijaona cha kushangaza? Kakojoe ulale
Watanzania ndivyo tulivyo!Mbona unatoa majibu mabaya hivyo? Yet you call yourself a thinker? GROW UP! Mkuu big up kwa tricks ulizotolea link. Sikuwa najua 90% ya hizo tricks. As for you mkoloni, you should apologize. Seriously.
Watanzania ndivyo tulivyo!
MORE TRICKS HERE Tech-today
kwa wale walio interested nawashauri m copy hizo nyanga for future use!
watanzania gani unaowaongelea? Hongera kwa ku share. Sharing shows caringWatanzania ndivyo tulivyo!
MORE TRICKS HERE Tech-today
kwa wale walio interested nawashauri m copy hizo nyanga for future use!
mbona sijaona cha kushangaza? Kakojoe ulale
yeah ni kweli mkuu nyingi ni za XP as i was looking for sumthing for XP and i got those tips nikaona si mbaya tukishare...i will try to find some for win 7!Thanks sana mkuu.. An Awesome share.. Na alieuliza kwanini post ktk iyo link imebase na XP tu. Ni kwamba hiyo post imeandkwa 2007 and blv wakat huo windows 7 ilikuwa bado. But hii safi sana mkuu nimejifunza mengi.
bado uko kwenye xp?Gonga hapa utashangaa : Awesome Computer Tricks
Wewe unashangaa Mtu Bado anatumia windows XP? kuna watu wanatumia Windows98 hhahahahah sasa hapo utashangaa au nini pia?bado uko kwenye xp?