Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada,nimefanya Instalation ya DELL OPTIPLEX 360 kwa kutumia OS ya Window XP service pack 3.Lakini katika issue ya audio inasema kuwa “No audio device” Nimejaribu kupitia Manage lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Duh hili tatizo sijawahi kulioana ndio kwanza mara ya kwanza kunitokea. Yaani ni kama zile taa zinazoleta mwana kuona kwenye screen ya laptop zimezimika, kwa hiyo mpaka nichungulie sana ndipo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nina flash nataka kuiformat lakini kila nikijaribu ile njia ya my computer=right click flashdisk=format inagoma. Naomba kama kuna njia nyingne ya kuformat tupatiane maujanja. pia nimejaribu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
naomba msaada laptop yangu haiwaki kabisa ghafla,je nifanye checkup gani ya mwanzo.
0 Reactions
0 Replies
779 Views
KUANGALIA GOOGLE MAP HEBU BONYEZA HAPA Google Maps ? Start here.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. nikifungua task manager inaniambia has been disabled by ur administrator wakati kabla ilikuwa haisemi hivi 2. jinsi ya kuondoa start up tone i.e ukiwa unawasha au kuzima computer kuna sauti...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajamii naomba mwenye tutorial za postgresql anipatie... Natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Naomba kuwauliza wadau hili tatizo la vifurushi vya tigo ni kwangu 2 au? Toka ijumaa mpaka sasa kila nikijaribu kununua vifurush vya tigo net wananipa msg hii 'sorry you can not activate another...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam JF! Nmepewa simu ina manual ya France....aina ya Sumsung model S 5830 ina GPS na 3G naweka line inaniambia nitapiga simu za dharura tu. Sijui naifunguaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Regular readers of The Windows Club, may be familiar with our several Windows freeware releases. The one common thing among them all was that they were all small portable apps which did not...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Do you like keeping your data up-to-date and accessible anytime, anywhere? If yes,EssentialPIM may prove handy for the purpose. It is a personal information manager that allows you to keep all...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CD DVD data recovery software allows you to recover and rescue lost or corrupted data from damaged and unreadable disks. The top 3 CD DVD data recovery CD DVD Recovery Software Free Download...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wakubwa, naomba nielekezwe ninapoweza kupata software ya kutengenezea letterhead za kuweka juu ya barua za kibiashara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu!! Naomba kuwasilisha tatizo langu kwenu ili nipate msaada.Nimetengeneza blog inaitwa www.nasmiletz.Blogspot.Com sasa shida yangu ni jinsi ya kuapload audio,na kufanya playlist...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
unaitwa facebook na moja ya mistari yake inasema "...i don need ur number we will socilaize facebook.."
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada: Pc yangu displays, "Window is not genuine"
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mimi nawashangaa sana wengi wenu majieleza mnavyoweza kutengeneza website za watu,mbona hamtuwekei mlizotengeneza wengi wenu mnakimbilia kwenye vya bure,blogspot,wordpress nk kwa nini mfano ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hallo wananchi,ninapata shida kidogo juu ya kupata application za android hasa compatible kwa i-phone na samsung galaxy,kwa anayefahamu tafadhali anidondoshee hizo link hapa chini kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ninavyozungumza TBC wanarusha hewani mfumo wa kupiga kura kwa kompyuta nimefurahia sana mfumo huu, shida ni nani mmiliki wa site hii ambaye hatachakachua kura hebu cheki hapa: TANZANIA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
guys,help me out..nina laptop hp 620 haicharg betri,lakin inaoparate ikiwa pluged kwa umeme.. Nimejarbu several options ikiwemo kutoa na kurudishia betri lakin tatzo laendelea.plz help me out
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom