nikiwa kama software developer huwa sifurahii kuiba kazi ya mtu. Watanzania huu ni ugonjwa sugu japo upo dunia yote. Hivi mtu ameajiri watu wakatengeneza kazi wanauza halafu we unachukua pirated...
UKIELEWA HII KITU USISITE KUTUSAIDIA NA SISI!!!
jamani wanajamii kuna post ambayo nadhani wote ambao bado hamjaisoma mtaipenda tatizo ni kwamba nimeshindwa kuielewa vizuri ndio maana nimeamua...
Upo na Computer yako(laptop au desktop).Unaandika mchango wako au mada flani ktk mtandao wa JF.Unaipitia mara mbili mbili au tatu ili kusahihisha makosa ya kiuandishi.Unasahihisha na kujiridhisha...
Binafsi ninaamini kila mmoja wetu ana ndoto ya kumiliki nyumba yake.bahati mbaya hapa ni kwamba si wengi sana wanaishi na kuitimiza ndoto hiyo..lakini unaweza kupunguza gharama za majenzi kwa...
Sony kiukweli sasa wanataka ugomvi na Microsoft walipoamua kuleta next generation gaming console to the market. Wakati Playsation 3 ilipozinduliwa miaka 5 iliyopita(halafu sisi huku eti zimeanza...
salama wakuu? mimi nilikua na idea kwanini watu watu wa IT tusifanye michakato yakutengeneza ka app ka jf kwenye formats kama jar,symbian,android etc.(kwenye simu) ili iwe haina haja yakuingia...
Wakuu habari zenu nawaombeni munisaidie kiufundi kuna Mtaalam yoyote hapa jamvini anayeweza ku Hacker mashine yangu ya game inayoitwa Sony Playstation 2 ? ili iweze kufanya kazi hata kwa kopi za...
wana jf, natumie Nokia E50, nilishawah install
nimbuzz, lakn ikafutika, now dayz nikiingia
kwny web
yao, nkiclic download
now , haifuction . Msaada plz.
Dear members nina iphone4 version 4.3.5 nataka kui-jailbreak..kuna anaejua fundi gani mzuri hapa dar wa kufanya hii kazi?. Pia nimesikia hiyo version ukijailbreak simu ikizima lazima uiwashe kwa...
Mm nina modem ya airtell so ili kutaka kuchakachua ni mambo yepi muhimu kuwa nayo kama software ipi ni download baaadae ili niendeleee na hatua nyengine. Thnx
Nimeistall timewatcher kwenye netcafe ambayo computer moja ni admin na zingine ni client sasa kila ukizima comp ukiwasha keso prog inasema no feedback ktk computet ambayo ni admn ukicheck comp...
Wakuu simu yangu inagoma kupokea na sms za kampuni ya Tigo na nikijaribu kuregister sms center mamba yao yaani +255713800880 inagoma simu yangu ni aina ya TECNO ya kichina , lakini mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.