JF app.

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
salama wakuu? mimi nilikua na idea kwanini watu watu wa IT tusifanye michakato yakutengeneza ka app ka jf kwenye formats kama jar,symbian,android etc.(kwenye simu) ili iwe haina haja yakuingia kwenye browser. unapata live feeds kutok kwenye hiyo app yetu. ni idea tu wakuu!
 
Idea nzuri sana kama FB application za cm,via blackberry,via nokia,via ipad2,via windowphone,via android etc
 
wazo zuri,lkn kazi kubwa maana kuna wengine wana2mia mchina au cm zenye uwezo mdogo,
 
yeah achasira ni challenge lakin hapa tunaongelea standard internet-enabled phones na siyo clones
 
mmetafuta hakuna vbulletin app? Binafsi siatafuta lakini step 1 ni kujua database schema ya Vbulletin ambayo ndiyo JF engine. Members wa vbulleting pekee wanaruhusiwa kuiona. Mengine ni mahitaji ya watumiaji na uwezo wa mtengenezaji
 
JF App kwa smartphone ipo kwenye majaribio kabla ya kutolewa rasmi... Ilikuwa itoke mwezi huu ila ikaonekana kuwa itawalimit watumiaji wengi wasimu ambao wanatumia WAP hiyo wamewekeza nguvu zaidi kwenye wap ambayo inawatumiaji wengi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom