Kuna mtaalam wa kuweza ku hacker Mashine ya Sony playstation 2 ?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,113
Wakuu habari zenu nawaombeni munisaidie kiufundi kuna Mtaalam yoyote hapa jamvini anayeweza ku Hacker mashine yangu ya game inayoitwa Sony Playstation 2 ? ili iweze kufanya kazi hata kwa kopi za DVD game?Nimenunuwa nikitarajia kuwa itafanya kazi

hata na hizi kopi za DVD Game matokeo yake haifanyi kazi hizo kopi za DVD game mpaka ununue Origanal yake hiyo DVD Game ndio inaweza kucheza naomba kam kuni Mtu anaweza kunisaidia kiufundi nitashukuru natanguliza shukrani kwenu nyote asanteni.
 
Back
Top Bottom