ubuntu inanisumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubuntu inanisumbua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by shemangale, Dec 19, 2011.

 1. shemangale

  shemangale New Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashindwa play music on ubuntu 10.04
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Temana nayo bana!! njoo kwa akina XP au 7
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 1,308
  Trophy Points: 280
  hizo Operating System ni za kishamba na zimepitwa na wakati. Zipo slow na hazina muonekano wa mzuri na zinashambuliwa na virus kila siku.
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 1,308
  Trophy Points: 280
  Ubuntu hawasupport baadhi ya format za audio na video hasa mp3 ambazo ni rahisi sana kushambuliwa na virus, ubuntu wana format zao za audio na video mfano 'ogg' ambazo haziwezi kuadhiriwa na virus. Kama unataka kuplay mp3 na format nyingine ambazo zimezoeleka kwenye microsoft, unaweza kudownload 'plugin' bure. Cha kufanya, unganisha internet kwenye ubuntu yako, it's easy to connect network in ubuntu than win7, then kafungue mziki, ukikataa utapewa choice ya kudownload plugin, then select ok, ikiitaji password weka password yako ya computer. Pia update ubuntu yako maana 10.04 ni version ya zamani.

  Mimi naipenda ubuntu, toka niitumie naona win7 hana ubora tena. Ubuntu its free and fastest Operating System of the world. Free of virus and secured.
  Ubuntu-HUMANITY FOR ALL.
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,462
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Kama unaongelea muonekano you are wrong. Mimi nshatumia os zote na kiukweli ubuntu haina muonekano mzuri zaidi ya wndows 7. May be useme mambo mengine ya techno zaidi.
  Watu inatuwia vigumu kutumia hizi open source os kwakuwa kuna softwares nyingi inakuwa vigumu kuzipata. Mfano mimi nimetafta stella software kwa ajili ya kutengenezea research models lakn sijapata.
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  download vlc kamanda, hata window media player ktk xp haiwezi play format zote za audio and video kama alivyokushauri mdau hapo juu
   
 7. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 1,308
  Trophy Points: 280
  ukiachana na vitu vya techns, pia muonekano ni kitu cha kuangalia sometime. Ubuntu 10 versions ina muonekano wa kawaida. But kuanyi 11 versions imekuwa katika format ya 3D na ina high quality, hilo halina ubishi. Win ina mwanga sana and haina drive nzuri za muonekano. Ubuntu kwenye screen nzuri imetulia. Kuhusu softwares za window kwenye ubuntu, download 'wine' utaweza kufanya installation za 'exe' ambazo zinatumika kwenye win. Hiyo software ni ya wind au ubuntu? Kama hujaipata tafuta software za ubuntu zinazofanya kazi sawa ni hiyo unayoitaka. Kama umekosa install 'wine' then fanya instalation za win's setup kwenye ubuntu. But ujue kuwa formats za windows zote zinaadhiriwa na virus kirahisi kuliko OS yoyote duniani.
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 1,308
  Trophy Points: 280
  sure mkuu. VLC ipo free ubuntu. Akiichukua itamsaidia sana.
   
 9. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  baadhi ya os za ubuntu huwa hazina sauti, hadi uhangaike sana,hata ukiweka pia player nyingine, tafuta latest version 11.04,ubuntu, huwa haina hayo matatizo.
   
 10. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145

  Hivi jamani kati ya ubuntu, XP na 7 nani kapitwa na wakati.Na suala la kuwa zipo slow labda 7 lakini XP bomba sana.Suala virus si kuwa makini 2 na pia kuna ant-virus nyingi 2 that can keep you safe.
   
 11. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All in all Ubuntu ipo juuuuu
   
 12. HT

  HT JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MP3 ni patented technology kwa hiyo huwa haiko included na OS wala ktk main repositories za ubuntu. Lakini ni rahisi sana install plugins za GStreamer bad, ugly kutoka restricted repos. Maneno yasikutishe fuata maelezo rahisi ktk kiungo hiki:
  https://help.ubuntu.com/
  chagua OS version unayotumia halafu angalia category ya multimedia utakuta jinsi ya kuinstall restricted media n.k. Hii iwe sehemu ya kwanza kupita. Ukitaka shortcut google 'installing gstreamer plugin bad ugly'
   
Loading...