Presenting: PLAYSTATION 4!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Presenting: PLAYSTATION 4!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Given Edward, Dec 6, 2011.

 1. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sony kiukweli sasa wanataka ugomvi na Microsoft walipoamua kuleta next generation gaming console to the market. Wakati Playsation 3 ilipozinduliwa miaka 5 iliyopita(halafu sisi huku eti zimeanza kutamba mwaka 2010!),bidhaa ziliisha kwa karibia store zote, and as of June 31, 2011 kulikuwa na zaidi ya 51 million units zimeshauzwa.

  Ushindani unazidi kuwa mgumu na wa kutisha kwenye video game market, na Sony inajiandaa kurelease PlayStation 4 or PS4. In fact, wakati PlayStation 4 bado inafanyiwa treatment yake, PlayStation 5 na PlayStation 6 zipo kwenye hatua zake za kwanza za planning and conceptualization kwenye Sony’s R&D labs(maabara yao).

  Dunia inasubiri kwa hamu kizazi kijacho cha PlayStation 4 kilichojawa na hi-tech gaming features na latest technologies. Gamers hawategemei tu kwamba PS4 iwe na combination ya motion na dual-shock controllers,lakini pia... 3D gaming experience!(duh!).Hakuna sababu ya mtu kutokutegemea ni nini toleo lijalo la PS4 litakuwa nayo, since technology ime advance widely na effectively.

  PS4: PlayStation 4 Features and Specifications

  Kiukweli bwana Sony PlayStation 4 inasemekana imetengenezwa na eco-friendly materials(materials ambayo sio adui wa mazingira...labda wanaogopa jiji, eti?). Hii console inategemewa itengenezwe na mpaka 60% ya materials ambazo ni recyclable. Ukiachana na hilo, itakuwa na feature ya “Eco Start” , ambayo itawaruhusu gamers kusave game zao na kuendelea, bila kuzima kabisa PS game yako.

  Kwa kuongezea, Playstation 4 imekuwa choreographed kujizima kila baada ya dakika 30 kama hakuna shughuli inayoendelea kwenye game. Kitu cha kufurahisha ni kwamba, PS itajichaji yenyewe automatically kutoka kwenye betri rechargable(betri ambayo unaweza kuichaji.......usijali, hii inakuja na game yenyewe sio mpaka ukanunu sehemu.Sio tu hii inasave energy, lakini pia ina maintain na kuongeza urefu wa maisha ya game lanyewe.

  Pamoja na kuwa game imewekewa eco-friendly features, bado inahitaji zile specifications amabzo zinahitajika na wale "hardcore gamers"(gamu kunoga wale). PlayStation 4 inategemewa iwe na hard disk drive yenye ukubwa wa 1.5 TB(terabyte...GB 1500!), ambayo itawawezesha gamers waweze kusave game file zao ambazo ni kubwa. Itakuwa na USB 3.0 ports pamoja na HDMI connect port.

  Sony PlayStation 4 itakuwa na full 3D support pamoja na 4K2K compatibility, na ita support 3D Blu-Ray. Itaweza ku synchronize(kubadilishana mafaili) na Sony Ericson,na pia itaweza ku synchronize na Sony Bravia. Sony Entertainment Network (SEN), ambayo nyuma ilikuwa inaitwa Qriocity, itakuwa included kwenye console.

  Kwa upande wa CPU, PS 3 ya sasa hivi inatumia cell based processor with 1 PPE (Power Processing Element) at 3.2 GHz. Inategemewa PS4 iwe na 32nm 8 Core Cell processor with 16 SPEs, pamoja na 22nm Kepler. Pia inategemewa kwamba PS4 console iwe na boatload ya RAM, ikiwa na kiwango cha chini cha 2GB RAM.

  Design/Muundo wa Sony PlayStation 4

  Pamoja na kuwa the gaming console is yet to be announced, fans tayari wamepost images za PlayStation 4, ambazo kiukweli zinavutia.Ni obvious kwamba users mostly wanaangalia technical specifications, lakini kuna namba kubwa tu ya watu ambao pia wanaangaliamuonekano na design/muundo. Kuna concept nyingi available, na concept moja ni kama hii ya Joseph Dumary, ikionyesha evolution kutoka PS2, kwenda PS3:

  [​IMG]
  [​IMG] [​IMG]

  Design nyingine hizi hapa:

  [​IMG] [​IMG]
  [​IMG] [​IMG]
  Vile vile inategemewa kwamba Sony wana plan kuweka “bodymovement-based control like Kinect”, kifaa kinachohisi/kinacho sense movement ya mwili ambacho kilibuniwa na Microsoft kwa ajili ya Xbox 360(ambao nao wanataka kutoa XBOX 720 hivi karibuni!!).
  Games za PlayStation 4

  Imedhibitishwa kwamba games za PlayStation 4 kwa sasa hivi zipo under development, na Sony imeset kuzindua games muda sawa na uzinduzi wa PlayStation 4. Games vile vile zinategemewa kupatikana kwenye PlayStation online store, ambapo unaweza kununua na kudownload games hapo hapo.

  [​IMG]

  Sony vile vile inatengeneza high-quality games, technology mpya, na integration with 3D and dedicated gaming.

  Siku ya Kuzinduliwa Playstation 4.

  Kuna speculations kibao kwenye Internet kuhusu release date ya Sony PlayStation 4. Vyanzo vinaonyesha kwamba Sony inapanga kutangaza Playstation 4 sometime in 2012. Kutokana na report ya blog moja ya mambo ya technology ya DigiTimes, inaonyesha kwamba Foxconn na Pegatron Technology watakusanya PS4 kwa Sony kuanzia mwishoni mwa mwaka huu mpaka mwaka 2012 kwenye uzinduzi. Haya ndio makampuni yaliyokusanya PS3(sio lazima uyajue saana).

  Haijulikani kama Sony PlayStation inaweza ikapewa jina jingine, but at this point tunaweza tuka assume kwamba itaitwa PS4 au PlayStation 4, Kwa sababu Sony imekuwa ikiyaita console zake zote za nyuma kwa mtindo huo. PlayStation 4 inategemewa kuwa one of the best gaming consoles ever, na baada ya kuangalia concept designs na specifications,hakuna shaka kuhusu hilo.

  Eti wadau wengine kwenye net wanasema pad zitakuwa hivi:
  [​IMG]


  Mimi na wewe hatujui...ila habari ndo hiyo hapo juu. Tusubiri hapa in tanzaniaI don't know when itatufikia lakini.....PLAYSTATION 4 is the ultimate gaming console.
  Nawasilisha,
  GIVENALITY.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu makala nzuri sana, nimependa wingi wa habari na ulivyoiandika kwa kiswahili rahisi. Kwakweli mimi pia naisubiri hiyo PS4, Je, XBox nao hawana mpango wa ku release newer version kwa ajili ya kushindania soko na PS4?
   
 3. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wakati huo huo ambao Sony wanatoa PS4, microsoft wataachia Xbox 720
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Vita ya sony na microsoft italeta gaming consoles za uhakika zaidi...
   
 5. k

  khalids19 Senior Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sorry to say lakini hii sio design ya PS4 ii ni concept only this is nothing offcially from Sony themselves!!:tongue:
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  the black one and the red one are sexy...bt dnt expect a new nxt gen console from micro,or sony till 2013/2014! As 4 nintendo they've already unveiled the WiiU as nxt gen console..
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  true but, its the same source wiliyotoa concept ya PS3 na ikawa exactly just that.
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sony wamesema mwanzoni mwa 2012.
   
 9. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  On my side naona ni too early for sony to release ps4,

  as a game fan since playsation era those days at unique upanga and musa game centre kariakoo, i think sony must wait the sales of ps3 to goes up atleast 150 million units worldwide,,

  ps3 imetoka 2007 but wameanza kuuza kwa faida 2009 sababu ya kurupuka, coz ps3 moja ilikuwa inauzwa kwa 799usd kwa bei ya jumla kwa retailers, hii ilisababisha customer majority washindwe kununua na sony kulazimika kuuza kwa loss hadi CEO wa gaming division ken kutaragi akaamua kuresidgn,,

  i bought my ps3 kwa 400 usd kwa retailer shop in dubai airport early this year ambayo yeye anauziwa 299 usd bei ya jumla,, so kwa kuinclude tax, transport cost and his profit usd 100 ndo ameongezea kwenye bei ya sony

  so as a fan of playstation i want sony to support first ps3 era hadi tuichoke like what they did in ps2 and ps1 and then ndo wa focus kwenye ps4,, also hardware capabilities za ps4 nazani zitakuwa kubwa kuliko mkuu ulivyoandika coz ps3 tu ina vitu vingi almost vyote ulivyovitaja ukitoa 3d zaidi ya kucheza game,, i need more smashing it in ps3 like god of war 3 inayonisumbua mpaka leo kuimaliza, metal gear, and so on before i save my money for PS4,,
   
 10. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  it's not too early ni kwamba sisi tunachelewa kupata bidhaa.
   
 11. k

  khalids19 Senior Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  no iyo sio kwely na mimi ninabet 100% hiyo sio real design na ps4 will be nothing close to this......ii mtu tu amefanya kwenye photoshop amepost kwenye site yake KAMA CONCEPT PICTURE!! "concept!" na sio ya ukwely :tongue:
   
 12. d

  deedee Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Mkuu ps3 inasupport 3d gaming na ina uwezo wakuonyesha 3d movies, just update it to latest firmware version...3d games zipo zinauzwa ps store au in blu-ray discs
   
 13. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwanini tusisubiri?
   
 14. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  i dont thnk so...they are just launching PS Vita in february 2012 and in dec. this year in japan. Hawawez kulaunch two consoles at the same time,havent evn heard the rumors about ps4...ps3 bado ina maisha marefu sana and there's a new IP exclusive for ps3 'The last of us' just got teased. Yaan bado sana.
   
 15. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  http://ps4rumours.com
   
 16. k

  khalids19 Senior Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  u think this is an officialy sony site?NOOOO WAY skiza unge post hii kama concept pictures za ps4 lakini ii sio ps4 yenyewe na wala waiwezi kuwa hivi lakini tusubiri kama unavyosema tuone kitatokea nini lakini sio design hii
   
 17. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  soma post vizuri. Nimesema kwamba it's a concept na kwamba zipo nyingi kwenye internet. I didn't say it is the EXACT ps4. I even said kwamba sony haven't given a word yet.
   
 18. k

  khalids19 Senior Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  oww heh ok.
   
 19. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  post more info if you get any
   
Loading...