Simu yangu inagoma kupokea sms za mtandao wa tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu yangu inagoma kupokea sms za mtandao wa tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by king11, Dec 18, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu simu yangu inagoma kupokea na sms za kampuni ya Tigo na nikijaribu kuregister sms center mamba yao yaani +255713800880 inagoma simu yangu ni aina ya TECNO ya kichina , lakini mitandao mingine haina shida
   
 2. E

  Elai Senior Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaweza kuwapigia customer care kwani wakati mwingine huwa na tatizo la mtandao,na kama ndivyo watakupa ushauri.
   
Loading...