Msaada timewatcher plz?

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Nimeistall timewatcher kwenye netcafe ambayo computer moja ni admin na zingine ni client sasa kila ukizima comp ukiwasha keso prog inasema no feedback ktk computet ambayo ni admn ukicheck comp zinaonekana bt status no feed bak nsaidien wajemen tatizo nini?ila ukiconfig upya ibapiga kazi fresh na inaziona zingine na kuzicontrol vzuri inshi ukizima tu kosa
 
Time watacher ndio jina na brand ya software unayotumia au ni general term?

  • kama sofware inaitwa timewatcher google au nenda kwenye tovuti yao. Kama ukishindwa njoo na detail zaidi ama vile unatumia version gani? Option rahisi kama huna latest version pakua latest version inawezekana version unayotumia ina bug. Ukikomaa na documentation za cofiguration basi utavuka.
  • Kama unatumia sofware nyingine ya time-watching/monitoring fafanua zaidi au tembelea site yao na jifunze.
 
Back
Top Bottom