jailbreak IOS Version 4.3.3 ndio sio lazima kuwasha kwa computer,,,Dear members nina iphone4 version 4.3.5 nataka kui-jailbreak..kuna anaejua fundi gani mzuri hapa dar wa kufanya hii kazi?. Pia nimesikia hiyo version ukijailbreak simu ikizima lazima uiwashe kwa computer..any advice jamani
limera1n nenda hapo download then jailbreak in 30 sec.