HT
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,897
- 414
nikiwa kama software developer huwa sifurahii kuiba kazi ya mtu. Watanzania huu ni ugonjwa sugu japo upo dunia yote. Hivi mtu ameajiri watu wakatengeneza kazi wanauza halafu we unachukua pirated? Kwa nini hatuheshimu kazi za watu? Mtu anatumia windows os ya wizi na ukiuliza ni blah blah nyingi. Kama huna pesa kwa nini usipakue os ambazo ni legally free? Au unaiba DW ili uonekane dev mkubwa, kwa nini usitumie free soft kama eclipse, NB et al?
Ni lini tutaanza kuheshimu software za watu? Kama unafanya hobby kwa nini usitumie foss na kama ni commercial kwa nini usiwalipe?
Tunahitaji kubadilika. No wonder waTz wengi hawatengenezi software kwa watu wa kawaida kwa kuwa wanajua wataibiwa. Tunajikosesha mengi. Fikiri Mtanzania akitengeneza office suite, itakuwa bei rahisi, lakini hawatenegenezi kwa kuwa wanaona wizi unaoendelea. Utapigaje kelele mafisadi mafisadi wakati os unayotumia umeipata kifisadi?