wadau HTC wildfire A3333 inagoma kusupport Internent kwa Vodacom nafanyaje?

limbunju

Member
Aug 8, 2011
28
3
wakuu naomba msaada wenu.nimeshatuma zile za wap and then wamedai cm yangu haisupport nifanyeje?
 
nenda setting>wireless&network> mobile networks> access point name> menu> new> andika neno internet kisha save weka tik......enjoy!
 
Jaribu manually:

Settings --> Wireless and Networks --> Mobile networks --> Access point names. ADD

Settings ni hizi:

name: vodacom WAP
APN: wap
Proxy: 10.154.0.8
Port: 9401
MCC: 640
MNC: 04
APN type: internet

Maelezo haya ni generalization tu nikifikiri Android OS features zitakuwa zile zile tu (natumia Samsung GT-S5570). Pia usisahau ku-enable "Use packet data"
 
Back
Top Bottom