Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina flash drive sony, ukiiweka kwenye system inasoma kama RAW type file system.ninahitaji msaada wa kuiformat au kubadili file system to fat32,nimejaribu, dos commands chkdsk x: /f...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pc yangu inatumia os mbili ila moja haitaki kutoa sauti, what is the problem.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimenunua nikia c3 lakini tatizo nashindwa kupata software ya kusoma pdf nimehangaika net nikapa ez lakini bado ikawa haisomi pdf nkaja nkapata pdf.R nayo ndo kwanza inataka keys plz naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada kwenu naishi kijitonyama nimekuwa natumia modem ya airtel lkn internet hivi karibuni imekuwa slow hasa wakati wa ucku mchana kidogo afadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani naombeni kama kuna mtu anajua nitapataje sound drivers za compaq hp
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau habari,naombeni msaada wenu,natafuta modem kwa ajili ya matumizi ya internet ya airtel,nimetafuta sana kwy maduka yao lakini wanadai hawana kwa sasa,au naweza kupata wapi modem ambayo ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Plz nisaidieni k block vodafone moderm k 3570
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu ku-google lakini bado nipo njiapanda. Kwani kila kompyuta inapo-boot, antivirus inanipa options za kufungua "wusa32.exe", in sandbox,normally au cancel opening.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi napinga piracy hasa ya kazi za watanzania lakini pia napinga watu wanajifanya wako kifua mbele kupinga piracy inayoweza kuwa mkombozi wa taifa letu. Mfano. Shule na vyuo hazina...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
wataalam naomba msaada wa haraka nina sony ericsson k800i ambayo kabla ya kuiflsh nilikuwa napata internet vizuri lkn baada ya hapo nikijaribu ku-google kitu chochote inasearch kwa muda mrefu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu kwenye pc yangu natumia kaspersky ant virus,lakin naona mda wake uko mwishoni, sas nahitaji msaada wa jinsi ya kuikeep all the time running na sihitaji kupurchase license kam ilivyo..nataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina frash yangu ambayo imeanza kunizingua baada ya kumuazimisha mtu mmoja lakini sahivi kila nikiichomeka kwenye pc yangu inanipa hii message'' you need to format the disc in drive G...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada simu G-TIDE G12 xpressMusic nikiwasha inaandika input phone lock code na mimi sijawahi kutumia code yoyote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nashindwa kuunganisha na internet inaniambia,your browser currently have no configuration.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye kujua ni wapi naweza pata/down load engine electrical wiring. Mchoro wa engine model :1KZ-TE, 1JZ kuna gari ilipata ajari so wezi waliiba baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
niliweka applicatioo ya theftaware(find me) kwenye simu yangu,na ikawa inafanya kazi vizuri cha ajabu kuanzia jana,hata bila kubadilisha simcard inatuma s ms ovyo tu,wakati ilitakiwa ifanye hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana JF mwenye contact za fundi mzuri wa simu please help.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani mie ninatumia wondows server 2003. Ila tatizo haikubali kusoma moderm ya vodafone, so kwa mtu yeyote anayeweza knipa maujanja anigawie na mimi.
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Wana jf je kuna study yoyote inayofanyika kujua website za kitz zinazoongoza, mfano 2kajua top 10 tz websites for 2011?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duh aiseee!! Lap yangu bana imepigwa na mafua kidogo, display imekufa, so coz ina warrant basi nimeisafirisha kidogo, so kwa sasa Napata shida kidogo kuingia JF hasahasa hili jukwaa letu. Anyway...
4 Reactions
19 Replies
13K Views
Back
Top Bottom