Wakuu naomba msaada wenu nitumie au nitafute sofwate gani niunganishe simu yangu ya Samsung GT - 15500 na pc kwa kutumia kama modem, kuamisha mafiles, n.k
NAWASILISHA!!!
Wakuu Kheri ya mwaka mpya,
Naomba msaada, jinsi ya kutengeneza forum au discussion group.
Ninayo domain ambayo iko hosted na ninailipia ingawa kama kuna sehemu ya bure ambayo naweza kutumia kama...
Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission;
1. Ni transmitter gani ya...
Hi wadau..
A little bit of help here.. Am about to buy iphone 4 but I would to know if it works here in tz. Cos the last I heard it was nt possible. So please fill me in!
----------------------------------------
Office Professional Plus 2010 Retail Keys
-----------------------------------------
Office Professional 2010 76XCJ-YMH2W-YQQV6-XX76X-QK3K7
Office...
Wakuu habari za mwaka mpya 2012,
Nimekuwa nikidownload software mbalimbali bila matatizo lakini inapokuja kwenye games
ndo tatizo linapoanza. Zimekuwa ngumu mno kupakuliwa labda vigame...
Napenda kuwatakieni wote kheri ya mwaka mpya 2012 kwa jf members.
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu blog yangu,nataka sasa kukaribisha matangazo ya biashara,sasa kama kawaida kila jambo zuri...
Nisaidieni niki downloard operamin au uc browser,hazifungunguki, ina instole kwa mda mrefu bila kumariza kisha inakuja text ilioandika check settings,nifanyeje?
Habari watu wngu wa jf..lengo la topic hii ni kujuzana mobile apps unazozifaham na kuzi2mia ambazo ni nzr na ni wapi zinapatkn.i mean web ip..ili kila m2 anufaike!karibu
Nenda nokiarock.Com then ingia kwenye software utaclick on new software then utaiona sor jamani natumia cmu nimeshndwa weka link lakn ukifata maelekezo utaipata
Kwanza natanguliza shukran zangu nakuwatakia HAPPY NEW YEAR wanajamvi woote wa forum hii.
Shida yangu nilikuwa naomba kwa yeyote anaye kumbuka kuna thread ilianzishwa hapa ili husu juu ya...
Unapoingia ndani ya chumba chenye giza,kisha ukabonyeza swichi ili kuwasha taa,je giza linakwenda wapi?. Au unapokuwa ndani ya chumba chenye mwanga wakati wa usiku halafu ukabonyeza swichi kuzima...
Wakuu
nillifanya instalation ya hiyo window yapata mwezi sasa,lakini wakati nafanya hivyo nikiwa na original cd key yake kutoka kwenye cd hiyo ambayo ni ProductKey =...
ZTE Modem ya Voda K3571-Z kila niki apply inakubali,ukifungua tu browser inakata.Nina 3G ya Voda lakin inagoma kuunganisha. Ukiifungua inakuja ile nyekundu ya Voda. Na ukifungua 3g pekee inagoma...
How to extend your
smartphones battery life By Tecca | Today in Tech - Fri,
Dec 23, 2011 No matter what type of smartphone you have, the device can serve as your MP3
player, digital camera...
Wadau kuna habari zozote kuhusu ofa mpya za internet toka Airtel ? majuzi walitutumia sms kusitisha ile ofa yao ya internet MB 200 za bure kuanzia saa 6 usiku wakisema wanaleta ofa kabambe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.