Msaada wa Haraka-Window XP SP3 imejifunga inahitaji activation !

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Wakuu
nillifanya instalation ya hiyo window yapata mwezi sasa,lakini wakati nafanya hivyo nikiwa na original cd key yake kutoka kwenye cd hiyo ambayo ni ProductKey = "CD87T-HFP4C-V7X7H-8VY68-W7D7M" iligoma kabisa,nikaamua kufanya instalation bila key,sasa mwezi ulipofika mmoja imejigunga kwamba nia activate,nikiweka hizi key inasema zimekosewa.nimejaribu kutafuta hata key kwenye net zote zimegoma.humo ndani kuna mambo ambayo yako ktk drive C sitaki yafutwe.

computer ni PC aina ya DEL

nifanye nini wakubwa

naomba msaada wenu
 
mkuu byabato search kuna uzi ulishaeleza hicho kitu jaribu kuutafuta kuna maelekezo nini cha kufanya..
 
mkuu byabato search kuna uzi ulishaeleza hicho kitu jaribu kuutafuta kuna maelekezo nini cha kufanya..

nilipewa keys kibao zaidi ya 40 ,zote zimegoma ndo nikarudi tena

wakati huo nilikuwa na siku kama 16 hivi sasa imejigunga kabisa
 
Jaribu hizi

This keys is only for XP3

V2C47-MK7JD-3R89F-D2KXW-VPK3J
XKXGX-99BKJ-KR3JG-6WPRP-7TX7W
8RCKG - 36TH8 - VWBGK - T3CB6 - RHG48
KKQCV-D7JPF-RJ4HJ-YC6KB-MWWHQ
WQ648-KKBDQ-FG394-BWQTY-YVQQG
HFPBT-9B8G7-Y682C-MKJ8H-F8QHW
RPR3W-VWDJC-62TFW-TYXVK-4FCD6
FT4FD-3FHW7-KPXCQ-QD43J-Y2RC6
WT98C-MT2MW-YG8V4-FDVD6-K6FFY
JKQ4G-CFG92-Y4RPC-JMY4T-T6FCQ
KTVYT-KQGDF-G82KX-3RW8K-MK9JB
QCQX3-VB8XQ-9CRXQ-7JTHQ-PPDPB

K49H2-RPR94-QBGG4-DBCTM-YT64G
M632D-T6YHJ-YPJTF-GGKGD-THW3D
BTFRC-GHC7-2WFBW-Y42XW-9WDKY


Good luck if you need more you will let me know :poa
 
Jaribu hizi

This keys is only for XP3

V2C47-MK7JD-3R89F-D2KXW-VPK3J
XKXGX-99BKJ-KR3JG-6WPRP-7TX7W
8RCKG - 36TH8 - VWBGK - T3CB6 - RHG48
KKQCV-D7JPF-RJ4HJ-YC6KB-MWWHQ
WQ648-KKBDQ-FG394-BWQTY-YVQQG
HFPBT-9B8G7-Y682C-MKJ8H-F8QHW
RPR3W-VWDJC-62TFW-TYXVK-4FCD6
FT4FD-3FHW7-KPXCQ-QD43J-Y2RC6
WT98C-MT2MW-YG8V4-FDVD6-K6FFY
JKQ4G-CFG92-Y4RPC-JMY4T-T6FCQ
KTVYT-KQGDF-G82KX-3RW8K-MK9JB
QCQX3-VB8XQ-9CRXQ-7JTHQ-PPDPB

K49H2-RPR94-QBGG4-DBCTM-YT64G
M632D-T6YHJ-YPJTF-GGKGD-THW3D
BTFRC-GHC7-2WFBW-Y42XW-9WDKY


Good luck if you need more you will let me know :poa


Mkuu nashukuru,sipo ofisini kwa leo,hapa natumia laptop,nitajaribu tena kesho,lakini nilwahi kupewa lundo la keys zote zinakataa lakin na wewe ulikuwa na tatizo kama langu je,ulifanikiwa kwa keys hizi?

je kuna njia mbadala ?

happy new year
 
Back
Top Bottom