chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
Habari watu wngu wa jf..lengo la topic hii ni kujuzana mobile apps unazozifaham na kuzi2mia ambazo ni nzr na ni wapi zinapatkn.i mean web ip..ili kila m2 anufaike!karibu
Hivi opera mini ni application au ni browser?operamini iko poa na sijui ni lini na mozila firefox wataachia ya kwao..
Hivi opera mini ni application au ni browser?
Hivi opera mini ni application au ni browser?
BBM
Kwa wenye blackberry tu!
BBM
Kwa wenye blackberry tu!