Jaribu software inaitwa kiesWakuu naomba msaada wenu nitumie au nitafute sofwate gani niunganishe simu yangu ya Samsung GT - 15500 na pc kwa kutumia kama modem, kuamisha mafiles, n.k
NAWASILISHA!!!
Jaribu software inaitwa kies
kwan cmu yako haina option ya ku unga mmoja kwa mmoja bila software