Kuhusu ofa ya internet ya airtel

Kuhusu ofa ya internet ya airtel

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
1,779
Reaction score
1,574
Wadau kuna habari zozote kuhusu ofa mpya za internet toka Airtel ? majuzi walitutumia sms kusitisha ile ofa yao ya internet MB 200 za bure kuanzia saa 6 usiku wakisema wanaleta ofa kabambe kwa ajili ya xmass.....Kuna yeyote mwenye data kuhusu ofa hiyo mpya atujuze humu jukwaani? Au bado hawajatoa hio ofa:A S 465:
 
mi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
 
Utata mtupu! Next time call Airtel costumer care ! Usijaze server ya JF UKizingatia hujachangia kitu kwa invisible
 
Hawa jamaa wana dalili za uongo, kwasababu txt walituma ya kusitisha hiyo ofa lakini ukibonyeza *102*6# wanaonesha kuwa una 200MB za kutumia kuanzia saa 5uck-12alfj, ukijaribu tu intaneti utaliwa mpaka ushangae.
 
mi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
not true....nimeangalia kifurushi changu cha MB400 wamekula kama kawaida yao
 
Hawa jamaa wana dalili za uongo, kwasababu txt walituma ya kusitisha hiyo ofa lakini ukibonyeza *102*6# wanaonesha kuwa una 200MB za kutumia kuanzia saa 5uck-12alfj, ukijaribu tu intaneti utaliwa mpaka ushangae.
True pal...waliahidi kutoa ofa mpya za krismas naona wako kimya...au ndo washapata wateja wengi wanaamua kuichinjia baharini
 
airtel wanatakiwa kuja na unlimited package mwaka mpya mambo mapya ningekuwa waziri wa technology ningefuta hizi package za mb mitandao yote
 
Rudini tiGO Wanatoa Free unlimited internet
 
tatizo la tigo sio unlimited, Tigo wana mafua tena mafua ya ndege
Itakuwa inategemea na eneo ulipo, mi natumia mchana na haipo slow kiivyo, na usiku na download hadi movie
 
TIGO is UNLIMITED ???
Plz guide me how ?

Andika neno Bure tuma kwenda 15566 inatumika kwa siku mbili unakuwa unajiunga tena kila baada ya siku mbili
 
mi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
labda wamekusahau tu kwa muda.uki connect next time wanakata zote
 
mkuu waliitoa toka 24 dec sasa wewe bado unapendela vya bure...
 
Andika neno BURE tuma kwenda 15166, inatumika kwa siku mbili unakuwa unajiunga tena kila baada ya siku mbili
Hakuna cha unlimited ktk ofa ya TIGO, nimejiunga nayo baada ya kutumia kama MB160 hivi wanadisconnect na sms juu ikisema Umefikia kiwango chako cha 71680Kbytes.Mtumiaji wa intaneti ya simu atakatwa Sh 50/MB.Mtumiaji wa Modem ataendelea kutumia intaneti bure
Time: 26/12/2011 17:04:10

mie natumia modem niki connect tena inagoma.....so hakuna cha unlimited ofa bali ni mb kadhaa tu
 
Mkuu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza apo apo tunachakachua tena ukipata mda nipm nikupe maujanja ya hao hapo mie nimeshausha vitu toka mornin bureeeeee.. sasa nimefika kama mb 800 hivi speed kubwa hehe :A S embarassed:
 
Back
Top Bottom