Forum or discussion Groups creating-MSAADA!

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wakuu Kheri ya mwaka mpya,

Naomba msaada, jinsi ya kutengeneza forum au discussion group.
Ninayo domain ambayo iko hosted na ninailipia ingawa kama kuna sehemu ya bure ambayo naweza kutumia kama yahoo ningeshukuru.
Nina watu 20 ambao nataka kuwa najadiliana nao na hizo discussion ziwe served.
Natanguliza shukurani,
Rakey.
 
Hauitijai kutengeeza forum. Unachohtaji ni kuchagua Platform gani zilizopo kuligana na mahitaji yako. Uisha simika hiyo application kwenye site yako basi unachobaki ni kufanya configration ndogo ndogo Kuna CMS kama
  • Vbulletin- Kwa mahitaji ya watu 20 inaweza iswe chaguo sahihilakini ndio most popular. Kama mbeleni yako inatgemea ku expand basi hili nalo ni chaguo la kufikiria.
  • PhpBB,- Ushauri wangu tafuta na tuma hii. Ni free.
  • MyBB -
  • BBPress- hii inatngenzwa na wale wanatengeneza CMS platform maarufu ya blogging ya wordpress. Inawezekana nayo ikwa safi. Tafuta reviews na tathamini ya watu walio au wanaoitumia kwa sasa

Zipo nyingine nyingi tu .

Kuhusu HOST
Kama unaye tayari hapo hapo ulpohost site yako ya mwazo unaweza kuweka na forum bila tatizo.
[h=3][/h]
 
Back
Top Bottom