Wataalam wa TV Broadcasting; MAWAZO YENU TAFADHALI.

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission;
1. Ni transmitter gani ya analogi ambayo naweza kuitumia kurusha kwenye radius ya 30-70 km, na ni wapi naweza kupata kwa berahisi?
2. Ni vifaa gani vingine vinavyohtajika katika transmission?
3. Kuna sheria yoyote inayonibana ktk kujenga transmission tower kwenye eneo la makazi?

Tafadhali izingatiwe kuwa bajeti yangu ni ndogo, wastani wa M4-7 kwa upande wa transmitter, na ninaweza kuafford kiasi flani kwa mtaalam kufanya setup, kama nitafanikiwa.

Natanguliza shukrani.
 
Sio mtaalamu ila kwa hiyo namba moja sidhani kama TCRA watakukubalia kwani sasa TV industry iko kwenye migration to digital -- huduma ambayo utaipata kupitia either ile coalition ya Startimes/TBC, Agape au StarTV (I stand to be corrected)
 
Heshima mbele mkuu, mawazo yangu ni kuwa kwa muda huu naweza kuanza na analogi, nikawa na transimtter ambayo ni "upgradable" (?), btw bado niko flexible sana tu, na bei ya transmitter za digital zikoje?...kama tofauti yake si kubwa sana ni wazo zuri kuingia moja kwa moja kwenye uelekeo wa sasa. Shukrani mbele mkuu!
 
hata mimi sio mtaalamu ila naskia sasa wana mpango kutoka kwenye analogi kwenda digital sasa mkuu huoni baadaye utakuja kula kwako?
 
Sio mtaalamu ila kwa hiyo namba moja sidhani kama TCRA watakukubalia kwani sasa TV industry iko kwenye migration to digital -- huduma ambayo utaipata kupitia either ile coalition ya Startimes/TBC, Agape au StarTV (I stand to be corrected)​

Kweli mkuu..ulichomshauri...maana hata zile cable Tv..nazo sidhani kama zitaruhusiwa na TCRA..
 
Nimefungua milango yote wakuu, si analogia tu, tujadili na digitali. Najua wabobezi watanipa maelekezo ya kutosha!
 
Mwisho wa kurusha matangazo kwa analogia ni lini?
 
Mkuu kwa uhakika zaidi kama uko Dar nenda TCRA watakushauri katika kila kitu unachotaka kitaalamu zaidi ama kama upo mikoani ingia katika mtandaao wao tafuta contacts husika wapigie.
 
Mkuu kwa uhakika zaidi kama uko Dar nenda TCRA watakushauri katika kila kitu unachotaka kitaalamu zaidi ama kama upo mikoani ingia katika mtandaao wao tafuta contacts husika wapigie.

Asante kaka, lakini nachotafuta mimi ni mitambo ya transmission, TCCRA wanaweza kuwa na watu wa kunishauri kuhusu hilo? Nafahamu humu JF kuna watu wa kada mbalimbali, wakiingia wataalam hapa patapendeza tu!
 
Sio mtaalamu ila kwa hiyo namba moja sidhani kama TCRA watakukubalia kwani sasa TV industry iko kwenye migration to digital -- huduma ambayo utaipata kupitia either ile coalition ya Startimes/TBC, Agape au StarTV (I stand to be corrected)
Gurta asante kwa kumuelimisha huyu jamaa. ITU digital migration deadline ni 2014, TCRA wameset deadline yetu ni 2012 yaani mwakani, hivyo hawatatoa kibali kwa anology tx.
 
Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission;
1. Ni transmitter gani ya analogi ambayo naweza kuitumia kurusha kwenye radius ya 30-70 km, na ni wapi naweza kupata kwa berahisi?
2. Ni vifaa gani vingine vinavyohtajika katika transmission?
3. Kuna sheria yoyote inayonibana ktk kujenga transmission tower kwenye eneo la makazi?

Tafadhali izingatiwe kuwa bajeti yangu ni ndogo, wastani wa M4-7 kwa upande wa transmitter, na ninaweza kuafford kiasi flani kwa mtaalam kufanya setup, kama nitafanikiwa.

Natanguliza shukrani.
Amoeba, kama vifaa vyote unavyo, then wewe set up your studio na kuomba kibali cha content provider toka TCRA. Kwa mujibu wa digital migration, kurusha matangazo ya TV yako, huhitaji transmitter bali lazima uwatumie watu wanaoitwa multiplex opperators ambao wako 4, wao ndio resiponsible kurusha digital signals zote za tv hapa Tanzania. Its cheaper, more effucient na convenient!.

Swali ni jee hivyo vifaa vyako vya production ulivyo navyo ni digital?. Maana kwa muda mrefu Tanzania imefanywa dumping ground ya obsolete technology TCRA wamesema no!. Hata hizi TV za chogo mwisho ni mwaka kesho.
 
hongera kaka kwa wazo lako..nikianza kujibu your post,kutransmt analog signal up to 70km utahtaji transmitter ya 500watt,utahtaj pia exciter.
TCRA watakupa kibali bse hata kama 2tashift kwenda digtal,wewe kama radio,utatakiwa utengeneze signal ila huta weza transmit but startimes,agape na startv/itv ndio watakao kuwa wanarusha on behalf,then utalazimika kuzma transmter yako kama itv,chanel 10,RFA na wengne watakavyo zim.
Kuhusu suala la kujenga tower yako,ts a nc ideal but nikirefer ur budget,huta weza,pia tukiangalia na case ya kushft to dgtal,then hunaaja sana ya kujenga tower bse hutaihtaj tena.unachotakiwa kufanya ni kupanga kwa wengne eg TTCL,VODA Etc uweze fanya transmsion.
Hata kama utaanzisha kituo chako bare in mind that june 2012 signal zote ve to b 0s and 1s
 
Nimeanza kuwa excited sasa, hasa baada ya Brother Steve Dii, Pasco na Mbako. Ratiba yangu ni kuwa hewani ifikapo mwezi wa sita 2012, sasa tuongee kidigitali; Mimi kwa sasa niko mkoani, nitapofika Dar breki ya kwanza ni TCRA, lakn kwa muda huu kama kuna mtu anaufahamu naomba tuendelee kupeana picha: Ni Makampuni gani kwa hakika ambayo yatahusika na transmission ya digital signals, na je kama mimi studio yangu iko mkoani nitafikisha vipi signal kwenye transmission tower husika? Akili inakubaliana na mdau mmoja hapo juu kuwa itakuwa cheaper zaidi kurusha matangazo kwa njia hiyo, lakn bado kuna vitu najiuliza; je kutakuwa na uwezekano wa kurusha matangazo katika eneo fulani tu? Na kama ndy hivyo, bei zitakuwa zinarange vp kwa channel moja (Naimani maengeeneer wa kampuni hizo wanapita pia humu)!
 
analog ikiwa shut down
kutakuwa hakuna free to air tv?????

Mkuu, nijuavyo mimi ni kuwa free to air tv zitakuwepo; na multiplex operators watalazimika kuzibeba (content provider atawalipa hao jamaa kwa kumrushia signali zake), subscriber atazikamata za bure kama kawaida, lakn za kulipia atazipata kwa malipo tu! Naweza kurekebishwa wakuu!
 
iko hivi,free to air tv itaendela kuwepo but by hyo 2013 utaweza kupata signal ukiwa na digita decoder (star times,ting etc) pekee au ukiwa na Digtal tv kama waziuzazo startimes..
Sema hapa tatizo ni kwamba kama wewe unataka tv za free utalazmika kuwa na decoder zaid ya moja mfano, itv wako ting na tbc wako startimes.
Kurud kwenye hoja ya msing;
kama uonavyo kwa sasa kampun kama startimes wanajipanua,wanakarbia kuifikia tz nzima
hii inamaanisha nin? By 2013 tz nzma itakuwa dgtal then hata kama unatanganzia ifakara utauza signal zako kwa wanadigtal
aksante
 
kujibu hoja ya pasco hapo juu,ni kwamba hauhtaji kutengeneza mawimbi ya digital ili uweze kurusha kwa digital.
Waweza tengeneza analog signal ukayabadili kuwa digtal kwa njia zilizopo kama PCM(pulse code modulation) kisha ukatransmt zkiwa dgtal....
Aksante
 
Back
Top Bottom