msaada wa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa haraka

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nassor Mwanaharakati, Dec 31, 2011.

 1. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nna computer ina sehemu ya kuingiza lain so nifanyaje ili niweze kuitumiaa. Computer ni dell
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Una uhakika hiyo computer ina uwezo wa kuingiza line au ni card reader? Unatumia computer ya aina gani?
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  download software inaitwa globa throter.au kwenye web ya dell download vondafone software then utaweza itumia kama 3g modem.
   
 4. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio nna uhakika inayo hiyo sehemu coz nimeingiza line kutest na sio sehemu ya kuingiza reader. Ni dell latitude E4300
   
 5. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok nashkuru kwa maelezo yako subir nijaribu then nntakujuvya
   
Loading...