Msaada wa simu nokia 2730 classic.

Msaada wa simu nokia 2730 classic.

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Nisaidieni niki downloard operamin au uc browser,hazifungunguki, ina instole kwa mda mrefu bila kumariza kisha inakuja text ilioandika check settings,nifanyeje?
 
tafuta opera mini ambayo inaendana na simu yako,ukijalibu opera min 6..+ inaweza saidia
 
Kwa simu ulonayo jaribu Opera mini 4 huwa inafanya kazi vizuri.
 
Back
Top Bottom