Nokia wametoa opera min ya kusurf free internet kwa airtel userz tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia wametoa opera min ya kusurf free internet kwa airtel userz tu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Eddy Love, Jan 1, 2012.

 1. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,881
  Likes Received: 6,325
  Trophy Points: 280
  Nenda nokiarock.Com then ingia kwenye software utaclick on new software then utaiona sor jamani natumia cmu nimeshndwa weka link lakn ukifata maelekezo utaipata
   
 2. rfjt

  rfjt Senior Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa muhimu, vipi wewe umefanikiwa kui-download, kui-install na kisha kuitumia kubrowse?
   
 3. Muce

  Muce Senior Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante sana mkuu, nimeshadownload na inapigakazi kama kawaida.
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ni bure vocha haukatwi mim nimeidownload lakn haifunguki.
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  nimeidownload lakini bado nakatwa pesa kama kawaida!
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mhhh jamani tuwe tunapata muda wa ku google kujifunza haya mambo yanavyofanya kazi.

  Browser haina uwezo wa kukuwezesha kusurf bure.Kama ni kweli una surf bure ujue kuna setting za maproxy au DNS fulani ndio zinakufanya usiliwe pesa sio browser.
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah exactly hizi ni modded opera mini namanisha zishawekewa proxy laknini naamini hii kitu haifai hapa Bongo hii ni ya Airtel users wa India na ni impossiple proxy na ip settings ambazo zimekuwa hacked kule ku iimplement user a surf bure zikafanya kazi hku.. but what you can do is learn the way the proxy was put na ip ukaweza configure za huku na ukafanikiwa laknini kwa Airtel sio rahisi why??
  Coz kule system yao is a little different user ata akiwa ana 0shs anaweza kuconnect na kutumia internet but yuko restricted kusurf labda hompage ya Airtel tu.. so here is where the proxy comes in na kubypass hizo restriction.. so Airtel yetu hawana hii kitu kama iko 0shs you cant connect nor surf any webpage.. HAYA NI MAUJUZI YANGU TU.. I STAND TO BE CORRECTED :poa
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nadhani uko sahihi

  Na hata kama ingekuwa ni kweli unaweza kusurf free sio lazima iwe opera tu . Kitaalamu kinachotkiwa ni kujua setting sahihi za server . Na ukijua hizo settring za proxy na DNS na au PORTS zake basi hata ukitumia browser nyingine utapata tu . Browser iko upande wa client so haijalishi unatumia Opera,Mozilla,chrome kama ina server side setting sahihi za bure utapata tu.


  Kitu kingine sijui kama Nokia weli wanatoa au wamewai kutoa Opera


   
 9. Muce

  Muce Senior Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio bure bt unatumia hela kidogo sana kwa surfing bila kudownload.
   
 10. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ninachofahamu mimi ni kwamba Opera Mini huwa inafanya cloud compression ya web pages na hivyo kufanya gharama za ku surf kuwa chini sana.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  ngoja nichangamkie tenda.
   
Loading...