Msaada wenu wakuu pleas

Msaada wenu wakuu pleas

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Kwanza natanguliza shukran zangu nakuwatakia HAPPY NEW YEAR wanajamvi woote wa forum hii.

Shida yangu nilikuwa naomba kwa yeyote anaye kumbuka kuna thread ilianzishwa hapa ili husu juu ya kutatua matatizo madogo madogo ya sim na katika thread hiyo wadau walichangia nazikatolewa code za simu kama kuflush sim,kubust network kwa kutumia code na mengine meengi sana.
Naomba kwa yoyote anayekumbuka thread hiyo anitajie hata ilikuwa mwezi gani ili niitafute,au hata acoment ili iwe kama thread mpya mpya,au kama itawezekana weka link.
Nawatakia mwaka mpya mwema.
 
Kama sijakose nadhani ilianzishwa nana memba anaitwa slave. Msearch kisha check kwa profile yake started sredi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom