Ushauri wa Blog

Ushauri wa Blog

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Napenda kuwatakieni wote kheri ya mwaka mpya 2012 kwa jf members.
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu blog yangu,nataka sasa kukaribisha matangazo ya biashara,sasa kama kawaida kila jambo zuri lazima ni share na nyie ma great thinkers,
naomba muitembelee alafu mnipe maujanja zaidi katika blog yangu.
Mimi siyo mtaalamu sana wa mambo ya lT,ila napenda sana selfstudy alafu kitu nachosoma nakifanyia kazi..
Gonga hapa
www.gshayo.blogspot.com
 
Back
Top Bottom