Msaada:Modem kilawakati inakata

Msaada:Modem kilawakati inakata

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
ZTE Modem ya Voda K3571-Z kila niki apply inakubali,ukifungua tu browser inakata.Nina 3G ya Voda lakin inagoma kuunganisha. Ukiifungua inakuja ile nyekundu ya Voda. Na ukifungua 3g pekee inagoma hadi itokee hiyo ya voda. Jamani naomba mnisaidie maana inanikatisha tamaa. Yani inaonesha ku send na ku receive data ila ukifungua tu browser inakata.
 
Back
Top Bottom