Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina x-mas tree lights ambayo ina branches mbili. Branch moja inafanya kazi na nyingine haifanyi (taa haziwaki). Baada ya troubleshooting, nikagundua kwamba hizo lights zina fuse ambazo nazo zipo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na...
20 Reactions
134 Replies
12K Views
Ndugu wana Jf ninaomba wanaofahamu ubora wa Nokia E7 wanipe data maana nimejaribu kudownload operamin naambiwa inahitaji frames.Hii simu imeandikwa made from Finland lakini nahisi inaweza kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wapi nitapata simu nzuri ambayo inaspeed nzuri ya internet na yenye uwezo mkubwa wa kudownload,camera na memory kubwa na ni aina gani?kwa bei ya laki tano.
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Wadau naombeni mnisaidie katika hili kwasababu hata sielewi tatizo nini,nikiwapigia customer care wanasema watalishughulikia lakini nimekaa masaaa kama saba hivi bila solution. Tatizo lenyewe ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau. Nimekuwa nikitumia browser kusafu jamii forums kwenye simu yangu bila shida yoyote japokuwa kuna limitations mbalimbali lakini nafikiri kuwa inafanya vizuri. Sasa juzi si nikapata bahati...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekumbana na hili tatizo wakati naingiza hii adapter yenye memory card kwenye laptop yangu. Napata msg kuwa SD storage card has a driver problem. How do i fix this tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Naomba msaada wenu nifanyeje Laptop iliingiwa na virus (Trojan), nime scan bado imificha programs, program ZOTE nikifungua inatokea Window Media, hata Icons zote zaonesha Windows media player.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada wenu kama kuna njia naweza fanya ku unlock hii simu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Modem ep nzuri kati ya hizi Tigo Vodacom/vodafone Airtel Ttcl Zantel Sasatel Naombeni msahada na ushauri kiufundi
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Watumiaji waliokubuhu kwenye matumizi ya blackberry naomba msaada wenu,kuna simu aina ya blackberry 8310 sasa kijana wangu mmoja anashindwa kuiona memory card naomba mnielekeze hatua kwa hatua...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
msaa jamani wa hiyo software ambayo ina key zake nimepata lakini ni evaluation so zinasumbua kwenye network system
0 Reactions
2 Replies
1K Views
how to unlock 3gs (BUILD 9A405) ios 5.0.1......msaada... ANYONE ANISAIDIE HII KAZI WADAU....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Man sued for keeping company Twitter followers A man is being sued for keeping Twitter followers that he attracted while...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Flash Disinfector was designed to remove unwanted files including autorun.inf on removable USB drives, flash drives and memory sticks. Use flash disinfector if you cannot access your USB drives...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, nokia n900 brand new, 32 GB 256MB RAM, Card slot: Micro SD up to 16GB, GPRS class 32. speed: HSDPA,10Mbps, HSUPA 2Mbps wi-FI, camera: 5MP, 2576 X 1936 pixel. Bei inauzwa laki 6 na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HAYA KWA WALE WANAOTAKA KUMTUMIA MTU EMAIL PASIPO NA KUUNGANISHA INTERNET CHUKUA HII. MASHARTI YAKE UWE NA ACCOUNT YA www.gmail.com NA UWE NA WEB BROWSER YAKO IWE NI GOOGLE CHROME KAZI KWENU VYA...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
jaman naomben mnisaidie kuhusu sim ya vodafone 351 ya kichna ni tsh ngap?Anaejua anijuze
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Kwa wale wanapenda kuropokwa maneno yasofaa, jamaa wapo kazini 24/7 ukija kukosa viza ya kuingia state usishangae; kumbe kuna mahala uliharibu na wenyewe wakakuona. CIA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuuu salam, Mwenzenu nimekwama nahitaji msaada wenu, Nimeletewa hiki kisimu cha nokia kutoka uk huko alikuwa anatumia mtandao wa 3 ila tangu niipokee kila nikiweka line yoyote ya Tz naona...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Back
Top Bottom