Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Tafadhali kama yupo mtu anaulewa juu ya kubadili hizo ac hapo juu naomba msaada maana kuna mambo mengi nashidwa kufanya kama yupo please naomba msaada natumia windows xp.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada wa kuunganisha simu yangu, niliponunua simu hii nimeikuta ikiwa na opera 4 ambayo naitumia kuingia kwenye mtandao, ss shida niliyonayo ni pale ninapotaka kudownload kitu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf Naomba msaa wa kuondoa tatizo laptop imenigome. Nilikuwa nafanya installation ya antivirus ya avast nilipomaliza ilinitaka nireboot ili ifanye sytm scaning, niliclick ok lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajf. Waungwana, naweza pata soft ware ya kuhifadhi mafile ya aina mbalimbali ktk mfumo mzuri na easily accessed and managed.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays? Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani please anybody who knows how to unlock hizi modem za sasa za tigo, imekuwa proble tofauti na za mara ya kwanza
0 Reactions
3 Replies
4K Views
wanna make some cash? Kuna website ambayo inakuwezesha kumake money online. Iko kama facebook flani ila a bit different. Unachotakiwa kufanya ni kupata 100 points tu na utalipwa 120 $(usd)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ningependa kuuliza kama kuna yeyote ambaye bado ameweza kupata access ya free internet ya saa 5 usiku maana kwa siku kazaa imenikatalia sasa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wanajf,mimi napenda sana macomputer,natamani sana kusomea na kufanya kazi kwenye macomputer,nishaurini kozi nzuri na chuo kizuri naweza somea.nipo Arusha.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau nna shida wapi naweza pata free to air MPEG 4 receiver na kwa kiasi gani? Itapendeza sana kama itakuwa Mikoa ya Dar au arusha au Kilimanjaro!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wananchi nimepata bonge la software ambayo inaweza kufuta na kubadilisha password ya windows yoyote...and can be downloaded for free!!.. chakufanya download hilo file ambalo ni file la ISO...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina memory card ya 4gb,naitumia kwenye nokia n70,nikifungua inasema corrupted,nikifomart inasema protected kama kuna mtu anaweza nipa mawazo mengine,thanx
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kuflash modem vodafone K-3571-Z
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kununua modem , sasa sijui ninunue modem ipi kati ya modem za tigo,voda ,airtel au zantel. Naomba ushauri
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Laptop inawaka lakini kwenye screen zile shortcut hazionekani. Hakuna icon hata mmoja. Sioni namna yoyote ya kuweza kuaccess folders zangu. Nifanyeje jamani? Nimezima nakuwasha kama mara 70 ila...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
About Unlocking Windows Mobile Phones "Lot of paid/Box solution available these day to unlock Windows Mobile Phones. we ll not discuss anything about any product. all product related...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta used 2811 Router 2950/3550 Switch. Wapi nitapata tanzania hii? (nina option ya kunua ebay - mwenye experience na ununuzi ebay naomba hints) Nawakilisha.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
khabar za sasa wadau wote wa technolody.... Kwa wenye huawei model hizi,E156 , E155 , E1550 , E1552 , E156G , E160G , E161, E166 , E169 , E169G , E170 , E172, E176, E1762, E180, E182E , E196 ...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka fulani, uongozi wa vodacom uliwahi kuahidi kuwa, ndani ya mwaka uliokuwa ukikaribishwa wangekuja na huduma mpya ya kuchaji simu kupitia mtandao. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom