Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wiki iliyopita private number ilikuwa inanibipu mara kwa mara, niliwauliza Tigo na wakashindwa hata kuitrace. Leo nimepigiwa na hii number 0529381 nikasikia maongezi ya watu na walikuwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wandugu, nina pc yangu Del GX 620 ina tatizo la kuji restart na niki cheki error detai napata hiki Problem signature: Problem Event Name: BlueScreen OS...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“Ile benki iliunguzwa na radi na mzee mmoja mkulima wa kijiji cha Kizi baada ya aliibiwa hela nyingi katika akaunti yake, akaona alipe kisasi kwa njia ile. Ile benki iliungua wa radi, hakuna...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
heshima kwenu wakuu!!!!...nimeupdate Iphone 4s kwenda IOS6 na sasa hivi sijui jinsi ya ku-unlock coz sijaipata hiyo software...anayweza kunisaidia aniambie cha kufanya coz hapa nilipo nimepanic balaa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hey natumia iPhone but hamna access ya kudownload vitu vizuri mpaka ulipie, ntawezaje kuiunlock hii fone ili nipate hiyo access, pliz stepbystep kwa anatejua ili, natumia iOS 5.1.1 simu ni iPhone 3gs
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Heshima zenu wanajamvii, Nahitaji msaada kwa mwanajamvii yeyote anayeweza kunichapia code kwa ajili ya contact form yenye muonekano huu: wasiliana nasi | maajabuyamaji.net , hapo ilivyo ni kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa jamaa wameingia mitini hawapatikani tena kwenye sateliti walisema wanafanya marekebisho. Marekebisho gani hayo leo siku ya 6 naona wametutapeli kama gtv wabongo tumeliwa na mchungaji
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1;step google IsoBuster ukipata download alafu fanyia installation2;step start up IsoBuster3;step Ingiza proteced cd into computer ukiwa umehold down the shift key( to stop windows autorun)4;step...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada wenu jinsi ya kuunstall microsoft security coz imegoma kutoka kwa njia ya control pannel na inagoma ku update nifanye je?
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Steve’s passing one year ago today was a sad and difficult time for all of us. I hope that today everyone will reflect on his extraordinary life and the many ways he made the world a better...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nifanye site mbili tofauti ziweze kushea table moja japo zina database tofauti, eg. Nna site site1.mywebsite.com na site2.mywebsite.com kila moja ina database yake ila nataka ziweze kushea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Laptop yangu natumia Window 7 kwa muda sasa.. Lakini sasa hivi kila nikiiwasha inaandika hivi Window is not Genuine.. Halafu imekuwa nzito sana.. Tatizo ni nini. Naomba msaada
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hai respond kabisa nikiiturnoff hadi nichomoe waya wa adapter maana betri yake imekufa hivyo nikichomoa waya wa adapta inazima mojakwamoja,je tatizo ni nini na solution yake ni ipi maana ram yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana JF, nina Harddisk yangu ya 320GB SATA ya my pc toshiba Mseries iko locked,nilikuwa najaribu ku lock kwenye BIOS set up ko nimesahau password,nahisi nazichanganya, najaribu inagoma,xor...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina blog, nahitaji kuwa na icon ya JF kama ile ya Facebook na Twitter ili niweze kushare directly what i post na wanaJF...Nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Wakuu hebu nisaidieni inawezekana vipi kubaini simu fake na kuzitoa kwenye system(hewani)? Je kama ni hivyo kubaini simu ya wizi si inawezekana pia Hebu nifafanueli kitalaamu how this work
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimenunua universal modem 3.5g, 7mb/s (Jumbo)nikichagua hsdpa network inaconnect vizuri lakini shida yake inapata moto sana. Naomba msaada wenu wadau niweze kutatua tatizo hili.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau naomba msaada wapi naweza pata wataalamu watakaoweza kuniwekea kioo kipya cha Blackberry?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahaniwakuu: Hivi SAMSUNG GALAXY 10.1 GB 32....na IPAD 2 GB 32 hipi ni bora? Kati ya hizo 2, nataka kununua mojawapo Je,nichukue hipi?...msaada please!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndio wakuu, salaam sana. kwa kifupi kitu ninachotaka kukitoa si kipya saana ila si mbaya kwa wasiofahamu pia kushare nao idea. ni hivi, kuna softwares ambazo ni kama emulator zinazokuwezesha ku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom