Wakuu nimedondosha Ipad kutoka kitandani kwa bahati mbaya, ilizima na nilivyoiwasha haikuwaka tena naombeni msaada nini cha kufanya hapo.
Natanguliza shukrani zangu:yo:
samahani kwa usumbufu, naomba mnieleweshe nina simu aina ya bird w5000 touch screen, je cm hii iko upande gani ipad,iphone,android nk. nauliza hivyo kwa sababu nasikia os nyingi lkn sielewi...
naomba msaada tafadhali, nataka kununua laptop tatizo specification za mashine nzuri na ya kisasa sijazijua, pia na kampun nzuri ni ipi?, kama bei inajulikana naombwa pia kujulishwa, asanten wakuku
Nimepoteza cm yangu ambayo kwa kifupi niliifanya kama portable drive yangu, ni Android MI-300 na nime i"SYNC" na google account am not sure kama inaweza kunisaidia kwa jinsi yeyote.
Wadau...
Wataalam wa simu za mkononi nisaidieni kukuza maneno yanayopatikana ktk mtandao kwa kutumia simu za BlackBerry ni madogo sana kwenye screen ya handset nimeweza na hata kuandika sms kuzikuza...
wana jf heshima zenu,jana kwenye net nimeona uzinduzi wa samsung galaxy pocket hapa bongo,wadau wa tech walioitumia au kuiona mna maoni gani kuhusu perfomance yake, hasa kwenye internet...
Habari za kwenu wanaJF,
Hivi karibuni nimenunua laptop mpya ya dell xps 15z ambayo ina space ya 750gb hdd, 8gb ram, 2.8Ghz, intel core i7, 64bits. Nimeikuta ikiwa na windows 7 home premium SP1...
Habari wana jr.
Tumetokea tatizo la kujizima simu na kujiwasha yeshewe yaania kiasi kwamba una bidi ku swap laini.
Uzoefu unaonyesha kwa laini za tigo.
Nimetafakari kwa muda na kupata suluhisho...
Wana jf ninaomba msaada wa kujua ni stablizer ainagani niitumie katika vyombo vyangu vya muziki ili kuweza kuongeza power ya umeme! Ninatumia busta royal s 1200 zipo 2. Umeme unashuka mpaka 190v...
Ninawebsite http://rahamix.tk ila nataka kubadili na kuifanya kuwa .com badala ya .tk
Kama unafahamu host wa bure tafadhali nisaidie link
*kama hufahamu naomba uanze kulazimisha kuwa hakuna.
Kwa wale wenye blogs za Google, sasa unaweza kuandika blog yako pamoja na kuweka picha ukiwa mahali popote pale. Hii ni kwa wale wenye smartphones au tablets. Kwa maelezo zaidi bofya hapa:
Blogger
Since the protocol that runs the world wide web – the HTTP protocol – is open and viewable to the entire world, anyone with the programming knowledge is able to write their own web...
STEP:
1. Open Notepad
2. Write: SHUTDOWN /f /r /t 2
3. Save the file: Test.BAT
4. Copy file to C:\ProgramData\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup for Windows 7
5. Restart your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.