zip code

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
habari wana jf hivi hii zip code huku kwetu bongo tunaijaza vipi mana kuna baadhi ya form ukitaka kujaza on line kuna sehemu ya kujaza zip code zip code ni nini ? ni code ya mji unaokaa au eneo unalokaa au mkoa au nchi unayo ishi? je utajuaje zipcode yako?
 
habari wana jf hivi hii zip code huku kwetu bongo tunaijaza vipi mana kuna baadhi ya form ukitaka kujaza on line kuna sehemu ya kujaza zip code zip code ni nini ? ni code ya mji unaokaa au eneo unalokaa au mkoa au nchi unayo ishi? je utajuaje zipcode yako?[/QUOTE
tanzania tunatumia tu sanduku la posta, wewe iache kama ilivyo, ila inayofanana na zip code tanzania itaaanza kutumika karibu , sijui itaitwa nini. hiyo ni namna tu ya utambuzi wa anuani za watu hasa kwa makazi. wenzetu sanduku la posta hutumika zaidi kwa kampuni, mashirika na serikali, ila watu hutambuliwa kwa anuani ya makazi ambayo kule amerika ndo inaitwa zip code. sijui nchi nyingine zaitwaje , japo kule ulaya huitwa post code
 
sasa mkuu zile form ambazo hazitaki ku submit mpaka ujaze zip code inakuwaje?
 
sasa mkuu zile form ambazo hazitaki ku submit mpaka ujaze zip code inakuwaje?

andika sanduku la posta... kwamfano aabdika tu box 122223, zip code ina herufi na namna
sasa ukiandika box halfu namba
manake huo mandiko utakubalika. ila kwakuwa unasehemu ya kujaza nchi na jiji,
wao watachukua hiyo box namba , na jiji na nchi. so kama ni mawasiliano hayatapotea.
 
zip code ni kwa usa ukiona kuna zip code ujue
1) wanatakiwa wajaze watu wa marekani tu wewe mtanzania hauruhusiwi

2) sometime inakua ni kitu cha world wide sema viburi vyao wanaeka hicho kitu

Unaweza ukafanya hivi

i) jaribu kueka postal code sometime linakua neno tu lakini inamaanisha code ya postal

ii) danganya kwa kueka zip code ya uongo mfano kansas zip code yao inaanza na 6 mfano 67550
 
form za google adsence huwa zinazingua sana hata ukitumia postal code, ngoja nijaribu hiyo fake hapo juu chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
form za google adsence huwa zinazingua sana hata ukitumia postal code, ngoja nijaribu hiyo fake hapo juu chief-mkwawa

Usidanganye adsense mi walinipa fundisho kwenye admob bado dola 1 kuredeem wakasuspend acount. Watakuja kudhulumu bdae hao wapuuz
 
Last edited by a moderator:
Usidanganye adsense mi walinipa fundisho kwenye admob bado dola 1 kuredeem wakasuspend acount. Watakuja kudhulumu bdae hao wapuuz

msinikumbushe kilichonikuta adsense. Nilijisahau nika-click tangazo mimi mwenywe wakablock account mpaka leo.....!!!!!!!!!!
 
dah... Pole bana... Rules are rules... But vp ulikuwa na salio angalau?

aaaah wap kulikua na vidola kadhaa. sitasahau hiyo email nliyotumiwa ndefuuuuu. duhhh nlikua nnamwonesha mchiz hiv adsense inavyofanya kazi ndo yakatokea hayo masaibu
 
Back
Top Bottom